wana JF tusipoteze muda na maada za kipuuzi. Mtoa maada anachuki na hao watu.njia pekee ni kumfuata mwenye hiyo kampuni na amweleze kuwa ameajili watu wasiosoma na wasio na uzoefu. labda mtoa maada na aseme yeye kasoma madarasa mangapi. na si kuleta habari zisizo ma maslahi hapa!!. wasiwasi wangu ni kuwa wachangiaji makini watakimbia kweye JF kwani JF siyo uwanja wa umbea na unafiki. wewe mtoa maada unaweza kusema umesoma madarasa mangapi!??? na katika kusoma kwako unajua nini kuwazidi hao unao waita wachovu!???
mkuuu nakuuunga mkono mia kwa mia sasa hivi kabakia kunihariri utafikiri yeye ni editor badala ya kunijibu hoja jamaa hafai kukaa humu analeta mada za majungu huyu vipi ohoo mtoto wa jakaya soa what!! utafikiri katumwa na mafisadi lete hoja za msingi group zima la kina ben nalijua hana hata data moja na ndio maana nilijaribu kuweka mkeka nashukuru kaelewa na sasa hana hoja ya kuendeleza hilo jungu lake,tena hatufai huyu na watu wa jamii yake humo.
(Heri ya mjinga kuliko mpumbavu)
sijakupata hapa.Jambo Leo ni kama Mzungu hajui kiswahili fasaha.
wana JF tusipoteze muda na maada za kipuuzi. Mtoa maada anachuki na hao watu.njia pekee ni kumfuata mwenye hiyo kampuni na amweleze kuwa ameajili watu wasiosoma na wasio na uzoefu. labda mtoa maada na aseme yeye kasoma madarasa mangapi. na si kuleta habari zisizo ma maslahi hapa!!. wasiwasi wangu ni kuwa wachangiaji makini watakimbia kweye JF kwani JF siyo uwanja wa umbea na unafiki. wewe mtoa maada unaweza kusema umesoma madarasa mangapi!??? na katika kusoma kwako unajua nini kuwazidi hao unao waita wachovu!???
Duuh amfuate mwenye Gazeti (Blandina Nyoni) atakubali?
Dah mjomba una amri kama nini,punguza munkari aiseenitapata hizo e_mail au sipati
Issue hapa kwa mtu ambaye amekuwa exposed kama PINTO the last thing one would have expected ni yeye kufungua gazeti lenye category ya RAG...surely what i expeced angefungua gazeti lenye calibre ya NewYork Times au Times of London lakini siyo gazeti lililo kaa kama National Enquirer if not Daily Star
Na sina matatizo na Ridhwani par se lakini this is embarassment kwake kwa sababu kwa msomi kama yeye he should have known better na the last thing alichotakiwa kukifanya ni kuwa exposed na mambo haya ...na mbaya zaidi kuingia kwenye investments ambazo zitamweka kwenye front pages bila sababu yyote ile...another day another wrong move from Ridhwani...kwanza ile ya CCM nayo ilikuwa mchemsho sasa hivi hiii
nilikuwa namtetea sana humu nikaambiwa ohhh Ridhwani jamaa yangu lakini hili I'm sorry to say sipo pamoja naye
halafu mnalalamika kuhusu media credibility Tanzania

hey what i need is juma pinto e_mail alafu tuta endellea na mambo mengine
Kuna ubaya gani wa kutumia Tigo line? Hata mimi nikiwa Dar natumia Tigo. Hela yangu siwapi mafisadi wa Voda, ng'o!simu ya kanjanja Willy Edward 078 6294384.
Mhariri wa Habari Joachim Mushi 0717 030066.email yake jomushi79@yahoo.com
Mhariri wa habari hivi sasa ametoka Kulikoni Simon Mkina 0754 020880
Mhariri mkuu Wambura 0713 210242 ukitaka kujua kuwa hawako serious hawa makanjanja.Mhariri mkuu anatumia Tigo line.
email ya gazeti jambonewspaper@yahoo.com
Haiamini wakati mwingine inapotea hewani masaa hata matatu na sehemu nyingine haipatikani.vyema Zain na Zazntel kama hutaki Voda.Kuna ubaya gani wa kutumia Tigo line? Hata mimi nikiwa Dar natumia Tigo. Hela yangu siwapi mafisadi wa Voda, ng'o!
waandishi ni wakatoliki watupu au ndio kampeni ya kanisa 2010
amekugusa?una chuki binafsi na wakatoliki, nakemea kauli yako kwa nguvu zote,