Gazeti la Jambo Leo linamilikiwa na nani?

Mtu ukiondoka bongo kwenda kuishi ughaibuni, ukipiga dili yoyote huko ughaibuni, hata kama ni tenda ya kutoka Bongo, reference yetu Bongo ni kuwa hiyo dili umepiga huko!. Mimi sizugi chochote!, the issue at hand ni mmiliki wa Jambo Leo ni nani na sio alipiga dili gani?.

Honestly we should be proud of him kuwa hiyo dili imepigwa na mbogo na proceeds amewekeza home Bongo!.
Pasco
.

Poor Tanzania!!!!
 
Hili limekuwa mstari wa mbele kuandika habari za kichochezi tangu kipindi cha kampeni hadi sasa na bado linatinga mtaani,
ushahidi wa kimazingira unaonyesha kuna mtu nyuma ya hili gazeti mwenye ajenda binafsi,je nani haswa anamiliki hili gazeti?

- Linaandika sana habari za kichochezi kulinganisha na gazeti gani mkuu? Kwenye dunia ya academic kama hii unapotoa habari kama hii unalinganisha na magazeti mengine, sema hili gazeti lina habari za kichochezi kuliko Tanzania Daima, can you say that?

Le Mutuz
 
photo.php
408508_10201142803711432_899680410_n.jpg

that is JP the don wapi aggie wa masogangwe..
 
Mmiliki halali ni yule tuu aliyeandikishwa tuu!. Kinyume cha hapo ni majungu!.:yield:

What about a SILENT PARTNER? Pasco usifikiri watu wote hawajui kuhusu umiliki na uendeshaji makampuni! Kuna kampuni ambazo majina ya shareholders walioko BRELA na Bank Account Signatories ni tofauti! Na kuna kampuni ambazo shareholders ni watoto ambao hawajui kinachoendelea kwenye hizo kampuni!
 
that is JP the don wapi aggie wa masogangwe..

- Maneno ya mkosaji hayo mkuu, maisha yamewashinda hapa mjini rudini nyumbani sio kulia lia na majungu ya kitoto!, Mtabakia hivi hivi watu wanaondoka na maisha hapa hapa bongo, watu wanafanya kazi nyie kazi majungu tu humu JF, haya kalete na zingine picha za wanaokuzidi akili, maana huwezi kuwalilia unaowazidi akili! ha! ha!

Le Mutuz
 
- Umasikini wa akili ni kuamini kwamba Ubunge ndio kila kitu na ndio njia pekee ya kutokea bongo, wauza unga hamuwajui mngekuwa mnawajua msingeropoka ropoka na majina ya watu wanaojitafutia riziki zao kila siku ya Mungu kwa kufanya kazi kwa nguvu sana, maisha yamewashinda rudini vijijini sio kuzushia watu maneno ya umbea hapa mujini!1

Le Mutuz

So kumbe wewe unawajua wauza unga aka powder aka madawa ya kulevya?
 
- Majungu ya walishindwa maisha ya bongo, kila mali ya bongo ni ya Ridhiwani nimeeenda Tanga nimeambiwa kila mali pale mjini ni ya Ridhiwani, hapa mjini kila mali kubwa ni ya Ridhiwani, poleni sana people fanyeni kazi kwa bidiii na nyinyin muwe na mali kuliko kukaa kuzushia watu majungu tena ya kitoto kama haya!!

- People fanyeni kazi punguzeni haya majungu mnaharibu majina ya watu bila sababu, haya ni simply majungu at best!!, kama ni majina ya wauza unga yanajulikana sana tena wengine ni viongozi wa huko Upinzani, wala sio siri hii ishu kuna siku itakuja kuwapasukia na facts mtashangaa sana hapa, wacheni kzushia watu maneno ya uongo, Ridhiwani hana hizo mali mnazosema amewapa nafasi mara nyingi ya kuonyesha evidence hamjawahi kuonyesha zaidi tu ya majungu, sasa mali yote waliyonayo Pinto na Ridhiwani bado tena wapo kwenye unga? Simply Childish!!

Le Mutuz
We ndio msemaji wao?
 
Mmiliki halali ni yule tuu aliyeandikishwa tuu!. Kinyume cha hapo ni majungu!.:yield:

Jarida la ET (Expression Today) la mwaka 2010, linalochapishwa nchini Kenya ndilo lililoanza kuchapisha habari za mtoto wa rais wa Tanzania, Ridhiwani Kikwete kuanzisha gazeti la Jambo Leo na likaelezea alivyompa ajira Juma Pinto. Pia likaelezea na jinsi alivyopiga hiyo deal ya UK. Kwa hiyo mtaka kutuambia na hao wakenya walikuwa na wivu na Ridhiwan Kikwete na pia maisha yalikuwa yamewashinda Nairobi? Pasco, hiding has limit!!

CC. W.C. Malecela
 
- Maneno ya mkosaji hayo mkuu, maisha yamewashinda hapa mjini rudini nyumbani sio kulia lia na majungu ya kitoto!, Mtabakia hivi hivi watu wanaondoka na maisha hapa hapa bongo, watu wanafanya kazi nyie kazi majungu tu humu JF, haya kalete na zingine picha za wanaokuzidi akili, maana huwezi kuwalilia unaowazidi akili! ha! ha!

Le Mutuz

Sasa umejidhihirisha ulivyo mtupu kichwani na usivyo na kumbukumbu ya kinachoendelea Tanzania!! Mama yako wako wa kufikia, Anne Kilango Malecela, alipiga kelele sana kuhusu mafisadi ndani ya CCM na serikali! Lakini mh. Sophia Simba, waziri na mwenyekiti wa umoja wa wanawake wa CCM alimzima na kumwambia kuwa hizo ni kelele za mkosaji kwa vile tu mzee wako aliukosa urais wa JMT na pia akapigilia msumari kwa kusema familia yenu ni wanufaika wa pesa ya UFISADI!!Na akasema wajanja kama wewe wakamchapa mahela alitaka kwenda kuhonga wajumbe!! Au unafikiri tumesahau bwana mdogo!

Sasa tuambie mama yako alikuwa analalamika kwa vile ni mtu wa majungu!!?
 
Sasa umejidhihirisha ulivyo mtupu kichwani na usivyo na kumbukumbu ya kinachoendelea Tanzania!! Mama yako wako wa kufikia, Anne Kilango Malecela, alipiga kelele sana kuhusu mafisadi ndani ya ccm na serikali! Lakini mh. Sophia Simba, waziri na mwenyekiti wa umoja wa wanawake wa ccm alimzima na kumwambia kuwa hizo ni kelele za mkosaji kwa vile tu mzee wako aliukosa urais wa JMT na pia akapigilia msumari kwa kusema familia yenu ni wanufaika wa pesa ya UFISADI!!Na akasema wajanja kama wewe wakamchapa mahela alitaka kwenda kuhonga wajumbe!! Au unafikiri tumesahau bwana mdogo!

Sasa tuambie mama yako alikuwa analalamika kwa vile ni mtu wa majungu!!?

- Hebu nitajie one thing cha utajiri alichonacho Mheshimiwa Anne Kilango, cha kuashiria kwamba ana mapesa mengi ya unga kama sio utoto na ujinga, wakati Sophia anasema hayo maneno alikuwa Waziri wa Usalama waTaifa kilichomshinda kumshika muuza unga mbunge nini akaishia kwenda kulalamika kwenye media kama vile hana nguvu ya kumshika kisheria?

- So una maana kelele zako ni kwa sababu Chadema hawajawahi kushika urais? ha! ha! huna kitu kichwani mkuu nyamaza tu maana ni aibu tupu, majungu umeyatolea mishipa ya shingo kuyalazimisha yawe ukweli, simply childish!!

Le Mutuz
 
Jarida la ET (Expression Today) la mwaka 2010, linalochapishwa nchini Kenya ndilo lililoanza kuchapisha habari za mtoto wa Tanzania, Ridhiwani Kikwete kuanzisha gazeti la Jambo Leo na likaelezea alivyompa ajira Juma Pinto. Pia likaelezea na jinsi alivyopiga hiyo deal ya UK. Kwa hiyo mtaka kutuambia na hao wakenya walikuwa na wivu na Ridhiwan Kikwete na pia maisha yalikuwa yamewashinda Nairobi? Pasco, hiding has limit!!

CC. W.C. Malecela

- Hakuna gazeti lolote la Kenya linaweza kuandika habari unazozisema ni simply majungu yako tu, Gazeti la Kenya limejua kuwa Gazeti la Jambo Leo ni la Ridhiwani kabla ya sisi wabongo? huna hata haya mkuu kuyageuza majungu kutaka yawe ukweli kwa kutumia nguvu nyingi bila hoja, naomba kama kweli unajua unachokisema niambie ni gazeti gani Bongo linaendeshwa kwa Faida? Gazeti la Jambo Leo limeanzishwa na Ben, Juma, na Mzee Kibanike, wacha majungu yako Ridhiwani ni rafiki wa Juma, for sure sio rafiki yako maana usingekuwa unatokwa na haya mapovu!!

- Mnaharibu sana majina ya watu wasio na makosa, watu wanafanya kazi wanatoka jasho na maisha yao na familia zao nyie kazi ni kuja tu humu na kuwazushia majungu majungu, mmeshindwa kuishi hapa mujini rudini makwenu!!

Le Mutuz
 
Mtoto wa Kigogo Malecela acha kuandika ujinga, unaenda nje ya mada unajionyesha ni jinsi gani ulivyo sufuriA, Kwa aina hii Lusinde lazima aingushe tena familia ya Malecela pale Mtera.
 
Pasco Mwezeshaji wa wa waandishi wa habari na yeye anafwatilia kwa makini kweli kweli kuna siku watu wataumbuka sana!
 
Mtoto wa Kigogo Malecela acha kuandika ujinga, unaenda nje ya mada unajionyesha ni jinsi gani ulivyo sufuriA, Kwa aina hii Lusinde lazima aingushe tena familia ya Malecela pale Mtera.

- Great Thinker sio siri wewe ni mmoja mlisohindwa kuishi hapa mujini kwa kazi za halali, sasa unaamini dawa ni kuzushia majungu wanaoweza, si mrudi tu makwenu, nje ya mada? So wewe upo ndani ya Mada? REally? mnaandika ujinga ujinga tu humu na kurusha rusha majina ya watu wanaowazidi akili za maisha, kazana mwanaume wewe!!

- Mbunge wa Mtera ametoeka wapi na hii mada kwa mtu uliye ndani ya Mada? ha1 ha! Childish!!

Le Mutuz
 
- Hakuna gazeti lolote la Kenya linaweza kuandika habari unazozisema ni simply majungu yako tu, Gazeti la Kenya limejua kuwa Gazeti la Jambo Leo ni la Ridhiwani kabla ya sisi wabongo? huna hata haya mkuu kuyageuza majungu kutaka yawe ukweli kwa kutumia nguvu nyingi bila hoja, naomba kama kweli unajua unachokisema niambie ni gazeti gani Bongo linaendeshwa kwa Faida? Gazeti la Jambo Leo limeanzishwa na Ben, Juma, na Mzee Kibanike, wacha majungu yako Ridhiwani ni rafiki wa Juma, for sure sio rafiki yako maana usingekuwa unatokwa na haya mapovu!!

- Mnaharibu sana majina ya watu wasio na makosa, watu wanafanya kazi wanatoka jasho na maisha yao na familia zao nyie kazi ni kuja tu humu na kuwazushia majungu majungu, mmeshindwa kuishi hapa mujini rudini makwenu!!

Le Mutuz
Watoto wa vigogo mtateteana sana
 
- Great Thinker sio siri wewe ni mmoja mlisohindwa kuishi hapa mujini kwa kazi za halali, sasa unaamini dawa ni kuzushia majungu wanaoweza, si mrudi tu makwenu, nje ya mada? So wewe upo ndani ya Mada? REally? mnaandika ujinga ujinga tu humu na kurusha rusha majina ya watu wanaowazidi akili za maisha, kazana mwanaume wewe!!

- Mbunge wa Mtera ametoeka wapi na hii mada kwa mtu uliye ndani ya Mada? ha1 ha! Childish!!

Le Mutuz
Wewe una akili gani ya maisha unabebwabwa tu na mfumo wa kifisadi wakuzalisha mateja ndani ya nchi hii.
 
Back
Top Bottom