Gazeti la Jambo Leo linamilikiwa na nani?

Pasco hizi si akili zako ni hangover za upambe, huyu pinto namkumbuka tuko zetu tunasoma pale DIT anakuja kufanya mazoezi na TASWA FC yeye na kitenge wanagongea nauli ya daladala kwa wanafunzi, eti kaenda UK siku mbili kapata mtaji, mbona Chris Lukosi hajapata mtaji ?
Kama ni kuja DIT kucheza mazoezi ya TASWA FC, hata mimi nilikuwepo na sii kweli yeyote kati yetu aligongea denti nauli!, unless mlikuwa mkijuana kabla, na hiyo gongea ni ile ya kiushkaji tuu!.

Hili la inachukua muda gani ku win ni relative!. Kuna watu nawajua, wako kule miaka nenda miaka rudi na hawakanyaga tena bongo!, wamefiwa na baba na mama hadi kuja kuzika tuu wameshindwa!. Kuna watu wanakwenda UK, wanapiga "trip moja tuu!", wanawin!, na wanarudi home bongo na kuwekeza!. Kwa vile fulani ameshindwa, haina maana kila aliye win basi lazima ni "sembe!".

Kwa mujibu wa kumbukumbu yangu, JP, hakwenda UK kwa siku mbili!, iliishi kipindi kirefu, na dili aliyopiga huko inajulikana sio "sembe!".
P.
 
Pasco, nilimfahamu Pinto alipokuwa kule Majira. Sikumwelewa. Weledi wake katika uandishi wa habari ulikuwa finyu. Hii ndio sababu ya mimi KUTONUNUA gazeti hilo baada ya kulisoma mara moja tu! Sikujua kwamba yeye ndiye mmiliki. Asante kwa kuniarifu.

Ningekuwa Msajili wa Magazeti, ningehakikisha kwamba wamiliki wote wa magazeti wanakuwa - at least - wenye kiwango cha elimu ya Uandishi wa Habari KISICHOPUNGUA Bachelor of Science/Arts in Journalism au Mass Communication. Kuwa mmiliki wa chombo cha habari bila ya kuwa na weledi wa kutosha kielimu ni sawa na kumpa mwanafunzi wa Darasa la VII ndege aina ya Airbus A300 aiongoze! Madhara yake HAYAHESABIKI mara moja!
Mkuu Mwanahaki, kuna issue ya maana sana hapa ambayo umeizungumza kuhusu "weledi" ila umeichanganya na "kiwango cha elimu!".

Weledi ni kitendo cha kufuata maadili. Kuwa na weledi, hakuna uhusiano na kiwango cha elimu!. Mfano vyuo vikuu ambavyo ni the best of the best hapa duniani kwa kufundisha sheria ni Yale kilichopo UK na Havard kilichopo US. Chenge ni Havard Graduate!. Kama ni kweli maadili ya mtawa yalikuwa na mashaka, then it has nothing to do na elimu yake!.

Tukija kwenye suala la elimu ya taaluma, naomba nikujulishe kuwa ule muswada wa sheria mpya ya habari "media bill" ulipendekeza ili kuitwa mwandishi wa habari, na kustahili kupewa press card, lazima uwe na university degree!. Unajua kilichotokea?!. Walioipinga sheria hiyo kwa nguvu zote ni waandishi wa habari wenyewe wakiongozwa na MOAT!. Kiukweli, wengi waandishi wetu ni vilaza!. Idadi kubwa ya waandishi wetu wa habari ni form IV failures. Hivyo sheria hiyo ingepita kama ilivyo, wengi wangejikuta rendered jobless overningt!.

Kwa maoni yangu binafsi, ili kuijengea heshma hii tasnia ya waandishi wa habari, kuwa na waandishi ambao wataitwa waandishi yaani "writes", na waandishi watakaoitwa "proffessionals" hawa ndio wawe journalist na ndio wapewa press card za practising "pro" wakati hao waandishi wa kawaida wapewe press card za "writers!". Sifa za hawa pro iwe ni lazima wawe graduate!. Kama kwa wanasheria hili limewezekana, kwa nini kwa waandishi hili lishindikane?!.

Na mishwo nimalizie kwa umiliki wa vyombo vya habari.
JP ni mmiliki wa chombo cha habari, huhitaji hata kuwa mwandishi ili kumiliki chombo cha habari!. Tanzania tunavyo vyombo vikuu vya habari zaidi ya 100, kati ya hivyo, wamiliki wake ambao ni waandishi hawazidi hata 10!, JP akiwa ni mmoja wao!. Wamiliki wengine ni kama Jenerali Ulimwengu, Manyerere na mwenzie Balile, Majula na redio yake na wengine wachache sana!. Wamiliki wakuu wa media nyingi na sii hapa nchini pekee hata nje, sii waandishi!. Ni wafanya biashara!. Hivyo umiliki wa media has nothing to do with uandishi wa habari!. Kuna waandishi kibao tuu habari, wanauwezo mkubwa kuandika, na hawajasoma hata darasa moja la habari!, na pia kuna waandishi kibao wa habari, waliosoma hadi masters, na hawawezi kuandika habari hata ya "a"!.

Kuna waandishi humu jf, wanaandika habari humu hakuna mfano!, ulizia walisoma wapi kuandika hizo habari!, utashangaa kusikia hawakusoma hata "a!".
P.
 
we unakula kwa kamba ya baba yako ...***** zako... alaf unajinegebua hapa... u coward u had never tested neither defeat no victory!!! acha wanaume waliopasua miamba wale vyao.. c nyie wachumia tumbo ambo bila babako we ungekuwa mchinja nyama mtera..!

- Bado you don't get the point, nauliza hivi eti kula kwa kamba ya baba yako mzazi ni a Crime against Jamhuri? NAshindwa hata kukujibu cause haina anything to do na Mada at the table, ha! ha! ha!

Le Mutuz
 
Kama ni kuja DIT kucheza mazoezi ya TASWA FC, hata mimi nilikuwepo na sii kweli yeyote kati yetu aligongea denti nauli!, unless mlikuwa mkijuana kabla, na hiyo gongea ni ile ya kiushkaji tuu!.

Hili la inachukua muda gani ku win ni relative!. Kuna watu nawajua, wako kule miaka nenda miaka rudi na hawakanyaga tena bongo!, wamefiwa na baba na mama hadi kuja kuzika tuu wameshindwa!. Kuna watu wanakwenda UK, wanapiga "trip moja tuu!", wanawin!, na wanarudi home bongo na kuwekeza!. Kwa vile fulani ameshindwa, haina maana kila aliye win basi lazima ni "sembe!".

Kwa mujibu wa kumbukumbu yangu, JP, hakwenda UK kwa siku mbili!, iliishi kipindi kirefu, na dili aliyopiga huko inajulikana sio "sembe!".
P.

Kwa nini unamtetea sana JUMA PINTO? Wewe ndiye PA wake?
 
weken hiyo picha ya alivyosindikiza kama vp mtoe majungu ya bar za mbagala hapa .huwezi kumattack mtu bila evidence .huu uz ungemuhusu slaa umgeshatolewa long time.p anawahusu nn magaidi wakubwa nyie
 
Kwa nini unamtetea sana JUMA PINTO? Wewe ndiye PA wake?
Simtetei, bali kwanza ni mwandishi mwenzangu, pili namfahamu tangu kabla hata sasa!. He rose from nothing, didi good deal, made good money, akarudi home kuwekeza!, still making good more (with connections).

Humu jf tuna tatizo kubwa la lots of hatters na prophets of the doom kwa kila aliyefanikiwa!.
Sipendi kuona watu wanasakamwa humu bila ushahidi au uthibitisho wowote!.

Kama ni kwa kutetea haki, then mimi ndio nimekuwa PA wake..na iwe!.

Mimi pia ndie PA wa Dr fulani aliyefungwa UK, nilimtetea sana humu!.
Mimi pia ndio PA wa kina Babu Seya, pia ni PA wa Liyumba, pia ni PA wa Prof. Mahalu na pia ni PA wa kina Mramba Yona na Mgonja!.

Pasco wa jf, ni PA ya wanaoshutumiwa/tuhuma bila uthibitisho!.

Pasco.
 
Kwani yeye, as a journalist, ameshindwa kujitetea? Halafu kwa nini watu wamuonee yeye tu? Kama deals alizopiga ni clean si ajitetee mwenyewe? Natumaini watu wanao ushahidi ila hakuna sehemu sahihi pa kuupeleka!!
 
Simtetei, bali kwanza ni mwandishi mwenzangu, pili namfahamu tangu kabla hata sasa!. He rose from nothing, didi good deal, made good money, akarudi home kuwekeza!, still making good more (with connections).

Humu jf tuna tatizo kubwa la lots of hatters na prophets of the doom kwa kila aliyefanikiwa!.
Sipendi kuona watu wanasakamwa humu bila ushahidi au uthibitisho wowote!.

Kama ni kwa kutetea haki, then mimi ndio nimekuwa PA wake..na iwe!.

Mimi pia ndie PA wa Dr fulani aliyefungwa UK, nilimtetea sana humu!.
Mimi pia ndio PA wa kina Babu Seya, pia ni PA wa Liyumba, pia ni PA wa Prof. Mahalu na pia ni PA wa kina Mramba Yona na Mgonja!.

Pasco wa jf, ni PA ya wanaoshutumiwa/tuhuma bila uthibitisho!.

Pasco.
Akili mbovu hizi
 
Yeah!!! Very true that you're somebody in the top hierarchy of our society and no one gave you a hand out on your way to the top. BAK is very proud of your achievements. Congratulations rafiki Fixed Point.

Umeshawahi kuona nimemfanyia mtu yoyote jungu?
nitafute popote pale kama utaona jungu langu..... nilikuwa nakupa angalizo tu.
By the way, mimi ni mama. kwa sababu siyo verified user usifikirie mimi ni nobody......
kwa hayo maneno yako nakutahadharisha tu usije ukanikimbia siku nikiamua kujitokeza.
Usimdharau usiyemjua
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom