Gazeti la Jambo Leo linamilikiwa na nani?

Jambo leo ni gazeti la Ridhiwani Kikwete, Juma Pinto ni either business partner wake (or executive employee?)

- Majungu ya walishindwa maisha ya bongo, kila mali ya bongo ni ya Ridhiwani nimeeenda Tanga nimeambiwa kila mali pale mjini ni ya Ridhiwani, hapa mjini kila mali kubwa ni ya Ridhiwani, poleni sana people fanyeni kazi kwa bidiii na nyinyin muwe na mali kuliko kukaa kuzushia watu majungu tena ya kitoto kama haya!!

- People fanyeni kazi punguzeni haya majungu mnaharibu majina ya watu bila sababu, haya ni simply majungu at best!!, kama ni majina ya wauza unga yanajulikana sana tena wengine ni viongozi wa huko Upinzani, wala sio siri hii ishu kuna siku itakuja kuwapasukia na facts mtashangaa sana hapa, wacheni kzushia watu maneno ya uongo, Ridhiwani hana hizo mali mnazosema amewapa nafasi mara nyingi ya kuonyesha evidence hamjawahi kuonyesha zaidi tu ya majungu, sasa mali yote waliyonayo Pinto na Ridhiwani bado tena wapo kwenye unga? Simply Childish!!

Le Mutuz
 
Acha ubabaishaji wako wewe! Na kwa nini asingiziwe yeye tu? Under the sun, if you are still alive, you can't hide for ever! Siku moja ukweli utakuwa wazi tu!! Halafu ondoa kichwani mwako mawazo yaliyochoka eti kila anayehoji hana shughuli za kufanya! That indicates how childish yourself you are!!
 
- Majungu ya walishindwa maisha ya bongo, kila mali ya bongo ni ya Ridhiwani nimeeenda Tanga nimeambiwa kila mali pale mjini ni ya Ridhiwani, hapa mjini kila mali kubwa ni ya Ridhiwani, poleni sana people fanyeni kazi kwa bidiii na nyinyin muwe na mali kuliko kukaa kuzushia watu majungu tena ya kitoto kama haya!!

- People fanyeni kazi punguzeni haya majungu mnaharibu majina ya watu bila sababu, haya ni simply majungu at best!!, kama ni majina ya wauza unga yanajulikana sana tena wengine ni viongozi wa huko Upinzani, wala sio siri hii ishu kuna siku itakuja kuwapasukia na facts mtashangaa sana hapa, wacheni kzushia watu maneno ya uongo, Ridhiwani hana hizo mali mnazosema amewapa nafasi mara nyingi ya kuonyesha evidence hamjawahi kuonyesha zaidi tu ya majungu, sasa mali yote waliyonayo Pinto na Ridhiwani bado tena wapo kwenye unga? Simply Childish!!

Le Mutuz

Naona Umekuwa Msemaji wa RIZ1
 
url
William-Malecela-pamoja-na-Juma-Pinto-mwandaaji-Miss-Tz-kanda-ya-Ilala.jpg
 
Gazeti la Jambo leo, linamilikiwa na kijana Mtanzania, Juma Pinto, ni mwandishi wa habari wa zamani wa gazeti la Majira, baadaye akaenda kuishi nchini Uingerezxa kwa miaka kadhaa, akapata mtaji wa kutosha, ndipo mwaka juzi akaamua kurudi Tanzania na kuanzisha gazeti hilo la Jambo Leo.
Pasco

wacha kutuzuga tunajua unajua ukweli ya kilichompeleka uingereza na alipotokea na ni dili gani kubwa alilopiga huko.

wasio na kumbukumbu nadhani mtakumbuka hili:-
tanzania+tourism+2.JPG

Uzinduzi wa matangazo ya kuvutia watalii Tanzania umeanza rasmi mjini London. Pichani juu kutoka kushoto naibu Balozi, Chabaka Kilumanga, Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Mwanaidi Maajar, Katibu Mkuu Maliasili na Utalii, Bi Blandina Nyoni, Mkurugenzi wa Jambo Publications Bw. Juma Pinto, wakiwa katika picha ya pamoja nje ya basi la London lenye matangazo ya Tanzania.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom