Gazeti la Jambo Leo linamilikiwa na nani?

Gazeti la Jambo leo, linamilikiwa na kijana Mtanzania, Juma Pinto, ni mwandishi wa habari wa zamani wa gazeti la Majira, baadaye akaenda kuishi nchini Uingerezxa kwa miaka kadhaa, akapata mtaji wa kutosha, ndipo mwaka juzi akaamua kurudi Tanzania na kuanzisha gazeti hilo la Jambo Leo.

Jambo leo ni gazeti la Ridhiwani Kikwete, Juma Pinto ni either business partner wake (or executive employee?)
 
Njowepo; Bila shaka TV itaitwa ABC na wapo kwenye harakati za mwisho kuisajili.
 
Last edited by a moderator:
Baada ya kususia uzi huu kwa muda mrefu....hatimaye mmeukumbuka.
urasa umeishaipata ajenda binafsi ya mmiliki wa hili gazeti?
 
Last edited by a moderator:
Linaandika habari za uongo na za kichochezi kila siku. Nashangaa yule waziri anaesuka twende kilioni hajaliona hadi leo kama alivyoliona Mwanahalisi. Kweli ukikubali kutumika kuibinya haki lazima uchutame hata kama unaemuumiza ni mzazi wako.w
 
Kuna Ratco class hz ndo bus luxury frm Tanga to dar Eti nazo n za Ridhwan, Kuna Tanga Beach Resort zte n kijana wa Mkulu ina mana huyo Ridhwan hachoki
 
Unaandika "Hili limekuwa mstari wa mbele kuandika habari za kichochezi" bila kutukandamizia hizo "habari za kichochezi"? Sasa ni gazeti linaandika hizo "habari za kichochezi" au ni wewe unaandika uchochezi?

Ukishutumu mtu au maandiko yake ni cyema ukayaweka wazi la sivyo tunachukulia kuwa wewe ndie mchochezi. Hii ni kwa wachache wenye uwezo wa kufikiri.

Copy chama
 
Last edited by a moderator:
Gazeti la Jambo leo, linamilikiwa na kijana Mtanzania, Juma Pinto, ni mwandishi wa habari wa zamani wa gazeti la Majira, baadaye akaenda kuishi nchini Uingerezxa kwa miaka kadhaa, akapata mtaji wa kutosha, ndipo mwaka juzi akaamua kurudi Tanzania na kuanzisha gazeti hilo la Jambo Leo.
Kule Pemba wanaanza kwa kusema Ammy............naona wengine wameshakupa majibu ya kina .
 
Kuna Ratco class hz ndo bus luxury frm Tanga to dar Eti nazo n za Ridhwan, Kuna Tanga Beach Resort zte n kijana wa Mkulu ina mana huyo Ridhwan hachoki

Ritz haya mabasi atayasemea chama anajua hii kitu.
 
Last edited by a moderator:
Gazeti la Jambo leo, linamilikiwa na kijana Mtanzania, Juma Pinto, ni mwandishi wa habari wa zamani wa gazeti la Majira, baadaye akaenda kuishi nchini Uingerezxa kwa miaka kadhaa, akapata mtaji wa kutosha, ndipo mwaka juzi akaamua kurudi Tanzania na kuanzisha gazeti hilo la Jambo Leo.
umesahau Juma Pinto ni muuza unga mzuri
 
Connecting the dots btn Pinto and Riz1...on drug dealings Nani atamfunga paka kengele? All in all hii nchi siyo ya wachache, a decision need to be made.
 
jakibinda 13:12 Today
Habari wakuu jana kulikuepo taarifa kuwa msanii
aliyekamatwa na dawa za kulevya AGNES MASOGANGE
ametaja waliombebesha madawa utafiti mdogo niliyofanya
umebaini ni hawa:
1. JUMA PINTO Ambaye ni mmiliki wa JAMBO CONCERPT
(Gazeti la Jambo Leo)
2. Mtoto wa kigogo ni KINJEKITILE NGOMBALE MWIRU
(Mtoto wa kada wa CCM)
 
NIMEKOPI NA KUPESTI

jakibinda 13:12 Today
Habari wakuu jana kulikuepo taarifa kuwa msanii
aliyekamatwa na dawa za kulevya AGNES MASOGANGE
ametaja waliombebesha madawa utafiti mdogo niliyofanya
umebaini ni hawa:
1. JUMA PINTO Ambaye ni mmiliki wa JAMBO CONCERPT
(Gazeti la Jambo Leo)
2. Mtoto wa kigogo ni KINJEKITILE NGOMBALE MWIRU
(Mtoto wa kada wa CCM)
 
Kuna Ratco class hz ndo bus luxury frm Tanga to dar Eti nazo n za Ridhwan, Kuna Tanga Beach Resort zte n kijana wa Mkulu ina mana huyo Ridhwan hachoki

Kama ujui kila mkoa wa Tanzania, kuna vituko vyake huyu bwana mdogo... na usishangae akifika mkoani wakat mwingine mpaka RPC wanampigia saluti.
 
Back
Top Bottom