Gazeti la Habari Leo limeniacha hoi

Gazeti hili toleo la leo linaongozwa na habari kuu inayosomeka:

"Ikulu ya Magufuli yamwaga ajira"

Hata hivyo ukisoma kichwa kidogo chini yake ajira zinazoongelewa ni zile ajira 39 za wenyeviti wa bodi,ma-DED,RAS na ma-DC.

Sijui nyie wenzangu mnaonaje hapa.
Mi naona CHENGA TUU
 
hahaha jiwe gizani
 
jana tu niliona unatafutwa humu tukadhani wameku bensaanane
 
Gazeti hili toleo la leo linaongozwa na habari kuu inayosomeka:

"Ikulu ya Magufuli yamwaga ajira"

Hata hivyo ukisoma kichwa kidogo chini yake ajira zinazoongelewa ni zile ajira 39 za wenyeviti wa bodi,ma-DED,RAS na ma-DC.

Sijui nyie wenzangu mnaonaje hapa.
Nahisi hiyo ni njia ya kuuzia gazeti hilo tu
 
Kati ya vitu ambavyo siwezi hata kufikilia nakupoteza muda wangu ni kuangalia nakusikiliza TBC au kusoma hili gazeti la habari leo,coz sioni kama wanauledi huo wapo kusifia serikali tuu navipindi vyao ni upuuzi mtupu no creativity poor organized,nibora niangalie pornal kwenye cm kuliko hizi media zinazoitwa za serikali
Ulitegemea serikali ijiponde yenyewe au iusifie upinzani?
 
Back
Top Bottom