"GAZETI LA CHAMA" Chama kipi nyie watangazaji? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

"GAZETI LA CHAMA" Chama kipi nyie watangazaji?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KALABASH, Oct 18, 2011.

 1. K

  KALABASH JF-Expert Member

  #1
  Oct 18, 2011
  Joined: Jan 26, 2011
  Messages: 453
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Leo asubuhi nikiwa nasikiliza mapitio ya magazeti kwenye Radio Magi FM nimesikia kwa mara nyingine tena mtangazaji akisema kwa kujiamini "Sasa nimeshika gazeti xyz "GAZETI LA CHAMA"Kwa kuwa mimi ni wa kizazi cha enzi hizo za chama kimoja nimeelewa mtangazaji alimaanisha nini anapozungumzia juu ya "CHAMA". je aliyezaliwa baada ya kuanzishwa kwa vyama vingi hapa aeleweje? Na cha ajabu ni vyombo vingi vya habari hurudia kauli hii Gazeti la CHAMA.. Wana JF mlio karibu na hawo watangazaji jaribu kuwaelimisha.
   
 2. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,249
  Likes Received: 219
  Trophy Points: 160
  chama cha magamba.
   
 3. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #3
  Oct 18, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,530
  Likes Received: 2,456
  Trophy Points: 280
  Kipi cha ajabu hapo sasa.
   
 4. THK DJAYZZ

  THK DJAYZZ JF-Expert Member

  #4
  Oct 18, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 2,140
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Khaaa... What this ? Ulitaka waseme vp ?
   
 5. kichomi

  kichomi JF-Expert Member

  #5
  Oct 18, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 512
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna magazeti ya chama, radio ya chama na TV ya chama.
   
 6. K

  KALABASH JF-Expert Member

  #6
  Oct 18, 2011
  Joined: Jan 26, 2011
  Messages: 453
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Nilitegemea waseme chama cha--- . Tanzania hakuna chama kinachoitwa "CHAMA"
   
 7. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #7
  Oct 18, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,891
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Tatizo watz wengi magamba yalishayaota mpaka kwenye ubongo, kiasi cha kutojitambua kwamba tayari tuna vyama vingi. Wao wanajua chama ni kimoja tu cha magamba.
   
 8. Obe

  Obe JF-Expert Member

  #8
  Oct 18, 2011
  Joined: Dec 31, 2007
  Messages: 4,179
  Likes Received: 12,563
  Trophy Points: 280
  unashangaa gazeti la 'chama' kwani hulijui, si hili gazeti la Uhuru
   
 9. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #9
  Oct 18, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,676
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kama nimekuelewa vema mshangao wako ni kusema "Gazeti la Chama" badala ya "gazeti la chama cha......" na hii ikiashiria kuwa bado kuna mgando wa mawazo wa Chama kimoja na hivyo huhitaji ku-identify jina la chama kwa kuwa kipo kimoja.

  Lakini swali ni moja, je CDM wana gazeti? Vipi kuhusu CUF? kama hawana basi itakuwa rahisi kwa maana chama pekee chenye gazeti ni kimoja
   
 10. K

  KALABASH JF-Expert Member

  #10
  Oct 18, 2011
  Joined: Jan 26, 2011
  Messages: 453
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Umeuliza swali la aina hiyo kwa kuwa unaishi Tanzania na unajua kuwa Chadema CUF nk hawana magazeti. Je akawa mgeni kutoka nchi jirani au kwingineko anayezungumza kiswahili na akasikia mtangazaji wa Magic Fm akisema "sasa nimeshika gazeti la CHAMA" huzani rwamba atanza kujiuliza CHAMA GANI HICHO?
   
 11. mgodi

  mgodi JF-Expert Member

  #11
  Oct 18, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,045
  Likes Received: 680
  Trophy Points: 280
  Wawe wanasema nimeshika gazeti la chama cha mapinduzi (Gazeti la uhuru).
   
Loading...