Kiufupi ni kwamba IDF imeshindwa vita na Hamas...
Kama wanapambana na Hamas wapambane huku raia wakipata missada.. IDF huko Gaza askari wake kila siku wanapigwa ambush na kuuawa na Hamas...
Hii vita IDF imeshindwa...
Adui mwombee njaa atatoka tu alikojificha aje nje kutafuta Chakula ndio hii sasaUmesema vyema
Chakula kikipelekwa Hamas wanachukua chote maana na wao njaa zinawauma, hapo unataka iweje?Kiufupi ni kwamba IDF imeshindwa vita na Hamas...
Kama wanapambana na Hamas wapambane huku raia wakipata missada.. IDF huko Gaza askari wake kila siku wanapigwa ambush na kuuawa na Hamas...
Hii vita IDF imeshindwa...
Adui mwombee njaa atatoka tu alikojificha aje nje kutafuta Chakula ndio hii sasa
Walioanza kuua wenzake ni Israel... hadi 2023 Oct 7 kabla ya uvamizi Israel ilishaua Palestinians zaidi ya laki moja toka kuingia kwake pale 1948...Usiue hautouliwa ukiua na wewe utauawa jamaa wa Hamas kutoka Palestina ambao wapo Gaza mpaka leo waliingia Israel wakaanza kuua wakaendelea kuua wakaua tena wakaua na majigambo mpaka kwenye social media mbwembwe kibao mpaka raia wasiohusika kabisa (Watanzania pia waliuawa), sasa kimewarudi kweli waliosema Karma is a Bitch hawakukosea
Kiongozi Hamas wameshindikana, wana viwanda vya silaha hapo hapo Gaza.. wanatengeneza hadi sniper, chakula wanacho... maroketi ya kupiga vifaru na mabomu ya kutega wanatengeneza wao na kila siku wanalipua merkava tanks..Adui mwombee njaa atatoka tu alikojificha aje nje kutafuta Chakula ndio hii sasa
Kwa hio wewe unapoingiliwa kwenye Himaya yako hutakiwi kumfurusha yule aliekuingilia, unataka kusema Iddi Amini 1975 alikua sahihi kuivamia Kagera?Walioanza kuua wenzake ni Israel... hadi 2023 Oct 7 kabla ya uvamizi Israel ilishaua Palestinians zaidi ya laki moja toka kuingia kwake pale 1948...
Sioni hamas walichokosea ilikuwa ni sawa tu..
Wameshindikana sasa msilie watu wanakufa njaa acheni wafe njaa hivyo hivyo mpaka hicho kizazi chote kiishe kije kizazi kingineKiongozi Hamas wameshindikana, wana viwanda vya silaha hapo hapo Gaza.. wanatengeneza hadi sniper, chakula wanacho... maroketi ya kupiga vifaru na mabomu ya kutega wanatengeneza wao na kila siku wanalipua merkava tanks..
Tofautisha hamas na raia wa Gaza, Israel inafanya uhalifu wa kivita kutoruhusu mashirika ya kutoa misaada kuwapa misaada wahanga wa vita...Wameshindikana sasa msilie watu wanakufa njaa acheni wafe njaa hivyo hivyo mpaka hicho kizazi chote kiishe kije kizazi kingine