Gays na Lesbians na transganders wakikamatwa wanawekwa sero tofauti?

Pascal Ndege

JF-Expert Member
Nov 24, 2012
2,977
1,897
Hili swala huwa najiuliza sana sipati jibu. Najua mazingira ya Sero. Je Hawa watu wenye jinsia tata za kujitakia huwa wanapewa kipaumbele? Maana naona kama ndio chanzo cha kuambukizana magonjwa katika sehemu hizi za usalama. Wenye uzoefu watufafanulie
 
Ingekuwa wino wa kuandikia unaisha ningepita,maana hili jibu hata mtoto analo
Gays ni Mwanaume - Jela ya wanaume,na ndio maana kwenye ID yake inaandika Male
Lesbian ni Mwanamke - Na ndio maana ID yake inaandikwa Female
Transganders ataangaliwa ametoka kwenye jinsia ipi,na atafungwa kulingana na jinsi yake mpya
 
Hili swala huwa najiuliza sana sipati jibu. Najua mazingira ya Sero. Je Hawa watu wenye jinsia tata za kujitakia huwa wanapewa kipaumbele? Maana naona kama ndio chanzo cha kuambukizana magonjwa katika sehemu hizi za usalama. Wenye uzoefu watufafanulie
Hi dunia inaenda haraka sana utaweza kukuta mdada ni transgander off-cause kuna issues muhimu zaidi ya haya but haki ya kushimiwa kuna siku mtu atafungua kesi ya kikatiba
 
Back
Top Bottom