Gavana Benno Ndulu: Uchumi Unakua | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gavana Benno Ndulu: Uchumi Unakua

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by DSN, Jul 31, 2011.

 1. DSN

  DSN JF-Expert Member

  #1
  Jul 31, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 2,745
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Hivi falsafa nzuri ya maisha ya Taifa letu sisi Watanzania tulio wengi ambao ni Wamatumbi weusi ni kutengeneza Uchumi mpana [Macroecomomics] au kutengeneza uchumi wa maisha ya Watanzania Wamatumbi ambao ndio wengi kuwa na uchumi ulio na faida na bora kwa maisha yao binafsi kuanzia Mtanzania mmoja mmoja [Microeconomics].

  Kwa kuwa Watanzania mambo muhimu tunayoyataka kuendesha maisha yetu ni upatikanaji huduma za maji, nishati, barabara, elimu, huduma za afya bora, ajira na ulinzi wa usalama wa maisha yetu na furaha kwa Wananchi kulingana na ustawi unaonzia kwa Mtu mmoja mmoja,ngazi ya familia na hatimae Tanzania nziama kama Taifa huru.

  Gavana wa Benki kuu bwana Benno Nduru katika dondoo [Hints] zake za maojiano yake na kituo cha Televisioni cha ITV,anasema uchumi mpana [Macroecomomics] wa Tanzania umekua na kutufanya kuwa kumi bora za Nchi katika Nchi za Kiafrika,lakini sio kukua Kiuchumi wa maisha ya watu [Microeconomics].Je hii huu ndio uchumi Watanzania tunaouhitaji Wanajamvi na Watanzania wenzangu?

  Naomba kujuzwa na Wanajamvi labda ufahamu wangu ni mdogo kuhusu mambo ya Uchumi, hivyo basi unapelekea kunipotosha uelewa wangu mdogo kuhusu mambo ya Uchumi ya kuwa uwezi kuwa na uchumi mkubwa unaokuwa kwa kutokuwa na uchumi mdogo unaokuwa kwa kuanzia mtu mmoja mmoja na hatimae Uchumi wa Taifa zima.

  Kwa tafsiri nyingine ndio kusema kuwa kama uchumi mkubwa unakua huku mamilioni ya Watanzania wanalia njaa na kuandamwa na matatizo kibao yasiyo na majibu na vikwazo vingi vya vinavyo wazuia wao kujiendeleza na kujistawiisha kiuchumi, kama ukosefu wa umeme na miundombinu isiyo na tija haswa vijijini na miji mikubwa. Kwa tafsiri hiyo basi Nchi yetu Tanzania Kiuchumi iko mikononi mwa watu wachache [watano au kumi kiuchumi ] ambayo kwa picha hiyo ni dhahiri kuwa tuko hatarini kiusalama kwa Uchumi wetu NA USALAMA WA TAIFA LETU NA WATU WAKE.Kwa kuwa tayari sisi kama TAIFA HURU basi HATUKO HURU ndio chanzo na hatima ya hapa tulipo fika kwa sasa.

  Naomba mnisaidie uku mkipitia hizi tafsiri [Definition] hizi uenda nazo zinachangia kunipotosha kwa kuwa nazo bado zinatetea kile ninachoamini katika uelewa wangu mdogo wa Uchumi.

  Microeconomics
  Is a branch of ecenomics that studies the behavior of how the individual modern household and firms make decisions to allocate limited resources. Typically, it applies to markets where goods or services are being bought and sold. Microeconomics examines how these decisions and behaviours affect the supply and demanad for goods and services, which determines prices, and how prices, in turn, determine the quantity supplied and quantity demanded of goods and services.

  One of the goals of microeconomics is to analyze market mechanisms that establish relative prices amongst goods and services and allocation of limited resources amongst many alternative uses. Microeconomics analyzes market failure, where markets fail to produce efficient results, and describes the theoretical conditions needed for perfect competition. Significant fields of study in microeconomics include general equilibrium, markets under asymmetric information, choice under uncertainty and economic applications of game theory. Also considered is the elasticity of products within the market system.


  Macroeconomics:
  It involves the "sum total of economic activity, dealing with the issues of growth,inflation and unemployment. Microeconomics also deals with the effects of national economic policies (such as changing taxiation levels) on the aforementioned aspects of the economy. Particularly in the wake of the Lucas critique, much of modern macroeconomic theory has been built upon 'microfoundations ' - i.e. based upon basic assumptions about micro-level behavior.


  Macroeconomists study aggregated indicators such as GDP, unemployement rates, and price indicesto understand how the whole economy functions. Macroeconomists develop models that explain the relationship between such factors as national income, consumption, unemployement, inflation, savings, investment,international trade, and international finance. In contrast, microeconomics is primarily focused on the actions of individual agents, such as firms and consumers, and how their behavior determines prices and quantities in specific markets.  While macroeconomics is a broad field of study, there are two areas of research that are emblematic of the discipline:
  1:The attempt to understand the causes and consequences of short-run fluctuations in national income (the business cycle), and
  2: The attempt to understand the determinants of long-run economic growth (increases in national income)


  Macroeconomic models and their forecasts are used by both governments and large corporations to assist in the development and evaluation of ecomomic policy and business strategy.


  Nisaidieni,
   
 2. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #2
  Jul 31, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Yeah, kwa kweli hii paper imeanika vitu vingi ambavyo tumekuwa tukivilalamikia, huyu gavana anaposema kwamba uchumi wa nchi unakuwa anajua kwamba anataka apigiwe makofi na waliomteua! Huu uchumi unakuwa hata katika mazingira ambapo umeme ni kero sio tu kwa uchumi mdogo lakini hata kwa uchumi mkubwa! sasa sijui hizo derivations za ku-portray kwamba uchumi unakuwa zinatokea wapi? We today have few predatory elite who enjoy the large lion's share of the pudding at the expense of the majority poor! Huu ndo uchumi unaokua?
   
 3. DSN

  DSN JF-Expert Member

  #3
  Jul 31, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 2,745
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Thanks ninavyoona mimi nawe pia waona hivyo hivi haya mambo mpaka lini?
   
 4. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #4
  Jul 31, 2011
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  uchumi upi unaokua ndani ya huu mgao au kupanda kwa bei za bidhaa ndiyo kukua kwa uchumi ?
   
 5. sblandes

  sblandes JF-Expert Member

  #5
  Jul 31, 2011
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 2,465
  Likes Received: 790
  Trophy Points: 280
  Hana jipya anahalalisha kula bila kunawa.
   
 6. K

  KunjyGroup JF-Expert Member

  #6
  Jul 31, 2011
  Joined: Dec 7, 2009
  Messages: 352
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  2 things.
  1. How can the economy grow if we 've a trade deficit; we 've an import driven economy. Sisi hatuna cha maana tunachouza. Madini si yetu. Tunapata tu 3% corporate tax ambayo hatujui hata ni kiasi gani cha madin yanauzwa nje.
  2. Local industries producin local products consumed by the locals. Hatuna viwanda vinavyo zalisha kulingana na matumizi yetu ya ndani. If anythin what we consume from our local industries could be around 20% & the rest is imported & 50% of taxes derived are pocketed by a few crooks.
  UCHUMI UPI UNAKUWA WAKATI UMASKINI UNAONGEZEKA,RUSHWA IMESHAMIRI, 33% YA BUDGET UIBIWA KILA MWAKA & SHILLINGI INAPOLOMOKA KILA KUKICHA?
   
 7. Kasheshe

  Kasheshe JF-Expert Member

  #7
  Jul 31, 2011
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 4,690
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Yaani sijui tunazalisha taifa la namna gani mtu hajui kitu lakini anajiona yeye ndio anajuaa!!!

  It is so simple kwa vigezo vya kumpima uchumi ambavyo mara nyingi sana vinazungumzia "macroeconomy" au kwa maneno yangu aggregate economy yes... uchumi unakuwa... so... Ndulu yuko right.

  Kama mnakumbuka wakati China ikiwa ina-register GDP ya 10+%, taifa lao lilikuwa na challenge na ambayo wanasiasa wengi walikuwa wanasema kwamba uchumi unaokuwa kwa hizo percent at same time unatengeneza tofauti ya walionacho na wasio nacho ikimaanisha hilo pia lingeweza kuwa tatizo mbeleni... So China ikawana changamoto ya ku-manage both.

  Mfano mwingine Angola kuna kipindi ili-register 20% GDP... hii hakumaanisha kwamba maisha ya kila mtu yalipanda au kuwa bora la hasha... bali by export their oil aggregate economy ilionekana so positive.


  Hivyo nawaomba tuwe makini sana tunaposikia wataalamu wanazungumzia jambo wale sio wanasiasa.
  etc. etc. etc.
   
 8. Kasheshe

  Kasheshe JF-Expert Member

  #8
  Jul 31, 2011
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 4,690
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Upupu... tafsi zako ni za hali ya chini saana. you still need to learn.... uchumi pole lakini... you will learn with time.
   
 9. Kasheshe

  Kasheshe JF-Expert Member

  #9
  Jul 31, 2011
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 4,690
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  At least I'm sure hakuwa anaongelea data za leo... kwani pia hazijatengenezwa... achani kuwa wavivu wa kufikiri na kusoma.
   
 10. DSN

  DSN JF-Expert Member

  #10
  Jul 31, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 2,745
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  What does it mean having the sound good macroeconomy while your people are dying of hunger,tafsiri yake nini?
   
 11. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #11
  Jul 31, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  Ng'wanangwa: Uchumi Unanuka
   
 12. DSN

  DSN JF-Expert Member

  #12
  Jul 31, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 2,745
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Kwangu mimi tafsiri yake ni za hali ya juu,kwa kuwa ndio hali halisi ya Maisha yangu na yake labda wewe mwenzetu hauishi Tanzania,uchumi unakua huku umeme Tanzania nzima hakuna yapata miezi sita sasa.

  Uchumi unakua huku hakuna ajira mpya,uchumi unakua Watanzania walio wengi hawajui mlo wa kesho utakuja vipi.Uchumi unakua kiongozi anatumia pesa kufanya lobbing kwa wabunge wapitishe budget yake.

  Napata shida wewe ukinielimisha kuhusu Uchumi unakua kivipi kwa manufaa ya nani? Ni sisi Wananchi tunaofaidika au kuna mtu mwingine ndiye anayeona faida ya hizo digital ama tarakimu chanya [Positive Respond] za kukua kwa uchumi wa Taifa hili kwa tafsiri ya Kimataifa.
   
 13. MKWECHE

  MKWECHE JF-Expert Member

  #13
  Jul 31, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 299
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Uchumi unakulia wapi jamani!
  Mbona maisha ya mimi mkweche na wanaijiji wenzangu yanazidi kukomaa!
   
 14. DSN

  DSN JF-Expert Member

  #14
  Aug 1, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 2,745
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  hapoooo wewe na mimi tunataka kujua Uchumi unakuaje wakati sie pangu pakavu tia mchuzi!!!!!
   
 15. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #15
  Aug 1, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Uchumi unakuwa kwa takwimu! Usanii mtupu
   
 16. Mtoto Wa Mbale

  Mtoto Wa Mbale JF-Expert Member

  #16
  Aug 1, 2011
  Joined: May 15, 2011
  Messages: 458
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Uchumi unaporomoka, wataalam wanaendelea kudanganya umma. Hii nchi haiwezi kuendelea kama wasomi na wataalam wetu wataendelea kuwa waongo. Hali halisi isemwe bila kificho, kwani ni kwa kusema ukweli tu ndo maendeleo yanapatikana.

  Ndulu anataka kumdanganya nani asiyejua hali yake ya maisha? Watanzania tuanzishe kampeni ya kuwaondoa wazee wote walio ktk nyadhifa za utendaji kwa lengo la kuitetea serikali badala ya kusimamia weledi.
   
 17. DSN

  DSN JF-Expert Member

  #17
  Aug 1, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 2,745
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Gavana BOT Nduru anakwenda hewani ITV dakika chache zijazo hivi sasa usiku huu kipindi ni dakika 45.
   
 18. DSN

  DSN JF-Expert Member

  #18
  Aug 1, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 2,745
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Mwandishi anamuuliza Gavana Kazi ya BOT

  Kuakisha usalama wa Bei
  Simamia mabenki
  Utlivu na maendeleo ya fedha
  Kuakisha kuna salafu za kutosha
   
 19. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #19
  Aug 1, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  huo uchumi mkubwa ni upi huo? uchumi utakuaje wakati umeme hakuna? nadhani anajitahidi kutumia ma terms makubwa makubwa ili kuzuga watu wasielewe. tuneshabaini Benno unatudanganya km kawaida ya serikali yako inavyofanya! hakuna cha uchumi kukua wala nini nchi hii inakufa tunaiona
   
 20. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #20
  Aug 2, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Sioni tatizo hapo ila kutafuta njia ya kuponda kila jema.
   
Loading...