Gauni linawasha

Gauni linawasha

Askari Kanzu

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2011
Posts
4,596
Reaction score
1,236
Nanhii ikianza kuwasha inabidi kujikuna

funny-itching-dress-520x398.jpg
 
gauni haliwashi wanatoa chupi imeingia kwenye mstari wa equator
 
Sure. Lakini je waliambiana watoe kwa mpigo au mmoja alimwona mwenzake akitoa na yeye akakumbuka kuwa ya kwake imeingia mstari wa ikweta?
 
Wote wana chawa

mkuu umenikumbusha enzi za mwalimu..hivi hawa wadudu chawa bado wapo kweli?

lakini nadhani chawa mara nyingi wanakuwa kwenye nywele...hao wazungu watakuwa na kunguni maana kunguni wana tabia ya kujificha kwenye nguo halafu wanakung'ata wakati utapoivaa hiyo nguo. wakishaanza hiyo kazi unakuwa hutulii kama hiki kijamaa hapa:dance:
 
Al Zagawi umepatia, chawa huwaga wanakuwa kwenye nywele. Sasa usisahau mavuzi. Kuna wazungu wengi tu wenye chawa kwenye mavuzi. Trust me!
 
Back
Top Bottom