Karne
JF-Expert Member
- Jun 13, 2016
- 10,040
- 17,832
Mimi mwenyewe sipo Dar ila Mamlaka ya Maji ya mji huu ina huduma hii na inasemekana ni cheaper kuliko kampuni za watu.Mm Niko mbeya mkuu. Sema sifahamu kama hiyo huduma inatolewa na Mamlaka ya maji au jiji