co fm
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 1,569
- 2,584
Habari wadau? Kuna notion kwamba unaweza kununua gari kwa mtu yaani second hand inaweza kuwa imebeba laana au mikosi au mabalaa. Ipo hivi mwaka huu nimenunua gari ni kama mwenye gari yeye hajatembelea sana ila cha kushanganza toka ninunue hii gari nilishapata nayo ajali like 4 times.
Ajali ya kwanza nikugonga chombo tena kina mtu, ajali ya pili bajaj kunikwaruza ajali ya tatu mtu mwenye gari kunigonga ajali ya nne just tu gari imekosa control na kugonga.
Nimewahi kuwa na gari ila hii naona mpya. Je ninaweza kutestify vipi hiyo gari ndo yenye majanga au mtu aliyeniuzia ndo kaweka kinyongo.