Inahitajika gari ya kukodi kwa siku TZS 15,000,maximum.Petrol najiwekea.Kama ina driver au haina driver yote sawa.
Trips daily mwenge-magomeni,kwenda saa 1- kurudi saa 10jioni,baada ya hapo mizunguko ya kawaida ikiwepo.
Kama ina driver awepo mpaka saa 2 usiku.Siku za week end ikitokea sherehe anaweza kukaa zaidi.
Mafuta nitaweka mwenyewe.Ni contract ya siku 60tu.Gari iwe saloon car yoyote ili mradi isiwe zaidi ya cc 1500.
PM me.