super thinker
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 371
- 110
Gari ya biashara ipo sokoni, aina ya Isuzu Journey, kwa sasa iko route ya Ubungo Masaki, TLB mpya inaenda Ubungo Tegeta, iko safi, engen kila kitu safi sana, kwa wanaojua magari ya biashara Isuzu Journey is the best, bei yake ni 15 Millioni, negotiable.
Najaribu ku-upload pictures technolojia inagoma, nikiweza kesho asubuhi mapicha yote
Najaribu ku-upload pictures technolojia inagoma, nikiweza kesho asubuhi mapicha yote