ya mufindi
JF-Expert Member
- Dec 23, 2014
- 573
- 908
kichwa cha habari kimejieleza vizuri nahitaji bus aina ya rosa yenye vigezo vifuatavyo;
Iwe ni box board..iwe ni spring juu yaani spring zinakamatia juu kama canter...engine isiwe na turbo yaani engine kavu ambayo ni 33 au35
natanguliza shukran za dhati.
Iwe ni box board..iwe ni spring juu yaani spring zinakamatia juu kama canter...engine isiwe na turbo yaani engine kavu ambayo ni 33 au35
natanguliza shukran za dhati.