Gari aina ya Toyota Emina linakodishwa kwa shughuli mbalimbali ndani na nje ya mji wa Dar Es Salaam. Linauwezo wakuchukua watu 7.Gari Litakuwa linakodishwa pamoja na dereva wakati wote. Mteja atagharamia mafuta kwa muda wote.
Bei zetu ni hizi hapa kwa siku moja:
Ndani ya Dar Es Salaam ni Tshs 100,000.
Nje ya Dar Es Salaam ni Tshs 200,000.
Bei hizo hapo juu:
-Zina jumuisha Dereva.
-Hazijumuishi bei ya mafuta.
Kwa mawasiliano tupigie kwenye hizi namba.0754-368802/0653-812984.
Bei zetu ni hizi hapa kwa siku moja:
Ndani ya Dar Es Salaam ni Tshs 100,000.
Nje ya Dar Es Salaam ni Tshs 200,000.
Bei hizo hapo juu:
-Zina jumuisha Dereva.
-Hazijumuishi bei ya mafuta.
Kwa mawasiliano tupigie kwenye hizi namba.0754-368802/0653-812984.