Gari toyota emina linakodishwa.

mamsapu

Senior Member
Apr 22, 2011
111
25
Gari aina ya Toyota Emina linakodishwa kwa shughuli mbalimbali ndani na nje ya mji wa Dar Es Salaam. Linauwezo wakuchukua watu 7.Gari Litakuwa linakodishwa pamoja na dereva wakati wote. Mteja atagharamia mafuta kwa muda wote.

Bei zetu ni hizi hapa kwa siku moja:

Ndani ya Dar Es Salaam ni Tshs 100,000.
Nje ya Dar Es Salaam ni Tshs 200,000.

Bei hizo hapo juu:

-Zina jumuisha Dereva.
-Hazijumuishi bei ya mafuta.

Kwa mawasiliano tupigie kwenye hizi namba.0754-368802/0653-812984.
 
Kulingana na uzoefu; gari inatakiwa kutembea kilomita ngapi kwa siku....???
 
Ungeweka picha ili watu waione hiyo gari mkuu ingekuwa vema.ni saloon au SUV hiyo gari yako?
 
Ungeweka picha ili watu waione hiyo gari mkuu ingekuwa vema.ni saloon au SUV hiyo gari yako?

Nadhani ni hii.........ila zinakunywa mafuta sana

toyota-emina-01.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom