Gari “Namba D” zimeenda wapi?

Plate number sio ubora wa gari, mana unakutana gari no. E au D iko garage wanafanya ukarabati wa Engine au gear box. Aidha, gari ni matunzo but likely old car inaweza kua na changamoto zaidi kuliko mpya.
Mimi pia ni Mzee wa T 3 .... A.... hilux ln166 imekula vumbi la mererani na vumbi la Mpwapwa na hakuna shida kabisa plus safari za Arusha - Dodoma za kutosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…