Inapita barabara gani........?.....
Inapita barabara gani........?.....
Hahahaaaa!!Sidhan mtu mwenye hadhi Mengi anaweza kutumua kununua gari la aina iyo.. Ni expensive car ila sio kwa watu aina ya mengi. magari ya vijana zaidi hayo mtu kama mengi hadhi yake ni kina range..Bima....Rolls royce nk
Hahahaaaa!!
Mkuu hiyo gari kwa jinsi ulivyoiona ni expensive?
Hebu rudia kusoma thread mpaka mwisho! lol
Tandale kwa mtogole kuelekea mwenge itv
Wee.....nikikukamata........kwa nini unaniambia kwa Mtogole......na si Sam Nujoma......?.......
Hahahaaaa!!
Mkuu hiyo gari kwa jinsi ulivyoiona ni expensive?
Hebu rudia kusoma thread mpaka mwisho! lol
vipi kwani hupendagi nyuma?kumbe ya nyuma
vipi kwani hupendagi nyuma?