excel
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 22,434
- 17,862
Habari zilizoko chini ya kapeti zinasema kuwa mzee mengi yuko mbioni kuingiza hii mashine kutoka ughaibuni.
Habari pia zinasema huo ni ujumbe mzito kwa Bakhresa nae aweze kuendeshwa gari kama hii ya mengi, Sio kila siku kuendeshwa na kigari kimoja tu cha bullet proof.
Una maoni gani wewe ailete au vipi.
Gari yenyewe ni hiyo nyeupe iliyoko nyuma! Sio gharama sana.... :biggrin1: