Gari lipi linafaa mazingira haya

Haaa haaaa! Njoo nikuuzie honda cc250 achana na mambo za gari kwa bajeti ndogo hivo ya mafuta utapata stress pia mafoleni ya mjini utaukumbuka na mwendokasi ukiwa na private sometime inatakiwa upenye mitaani au uchague njia iliyo wazi sasa utachagua njia kwa mafuta ya 5000? Chukua mashine kubwa honda vt250 hutojuta.
Wanunuz wa magar wako Dar tuu !!?
 
KAMA IST INAKULA MAFUTA KWAKO, NA HUIWEZI KUIMUDU, THEN ANGALIA MAAMUZI YAKO YA KUNUNUA GARI - INAWEZEKANA UMEWAHI, MDA WA WEWE KUNUNUA GARI BADO, LABDA UNUNUE DUET 900CC AU MITSUBISH MINI - AMBAZO NI PASUA KICHWA KWA SPARE WAKATI MWINGINE....

hata hizo gari zenye cc ndogo consumption iko pale pale usijidanganye kwa cc ndogo kina jimny na kei na vigari vingi vya cc 659cc vinakula mafuta kuliko hata ractis 1300cc au 1500cc ..hizo kina kei engine ndogo so inazunguka sana yan inafanya kazi kubwa
 
Ni wachache watakuelewa kama hawajahi kuyatumia haya magari yenye cc ndogo
 
si kuna ile kitu inaitwa power to weight ratio unakuta kagari kana 54hp uzito tani na nyingne 90 or 100hp uzito tani moja kwa moja hako ka hp 54 katapata shida sana mfano umepakia watu wanne kwenye suzuki kei going up hill na mwngne watu wanne hivo hivo ila ya kwake inajiweza ....hapo mliman kei inapnda kwa shida kwel rpm nyingi hivo unywaji wa mafuta unazd kuliko ile yenye engine kubwa
 
hata hizo gari zenye cc ndogo consumption iko pale pale usijidanganye kwa cc ndogo kina jimny na kei na vigari vingi vya cc 659cc vinakula mafuta kuliko hata ractis 1300cc au 1500cc ..hizo kina kei engine ndogo so inazunguka sana yan inafanya kazi kubwa

Ujielewi
 
Back
Top Bottom