Gari linauzwa --- Car For Sale

Gari linauzwa --- Car For Sale

killo

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2008
Posts
401
Reaction score
97
Hello Wana jamii,

Napenda Kuwatangazi kuwa gari hii ( Pichani ) inauzwa kwa bei che... wahi sasa.

Tafadhali wasiliana na Bwana Salim Kwa number zifuatazo:- 0655 506003 au 0784 506003


29112009470.jpg 2011-12-02 07.34.37.jpg
 
weka upande wa matangazo..hii si habari..
 
Hiyo 10 si ndo ya kuanzia? Akija na 7m ndo maelewano yenyewe

Siku zote biashara maelewano mkuu.. tukiafikiana basi itafanyika lakini kwanza magezi.!
 
mkuu kwa gari kama hizo watu wanataka wajue yafuatayo!engine type,like 1HZ,1HDT,1KZ nk.pia year of manufacturer,km is nothing.weka hizo info kaka.
 
Weka details za kutosha kama wafanyavyo wenzako Kijana, hiyo bongo kijana.
 
Weka details za kutosha kama wafanyavyo wenzako Kijana, hiyo bongo kijana.


Wanajamii nashukuru kwa maoni yenu, details ni kama ifuatavyo:

One owner since new
Engine 3L - Diesel. CC 2700 or 2.7
Manual 5-speed, 4x4
Year 1992
 
Kakobe = A very small tortoise
Kibonde= A very small valley
Nimipenda hiyo wanajamii ingawa sina mchango wowote katika suala la gari mambo yangu hayajakaa vizuri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom