Gari linauzwa --- Car For Sale

Gari linauzwa --- Car For Sale

Jembe hilo. Liko slow ila kufa halifi. Ni gari zuri sana. Kila la kheri mkuu
 
linakwenda kilomita ngapi kwa lita kiongozi? Na milege yake mpaka sasa ni kiasi gani?
 
linakwenda kilomita ngapi kwa lita kiongozi? Na milege yake mpaka sasa ni kiasi gani?

Mkuu hii kitu inakwenda 10km kwa litre 1 ila ukifanya manjonjo kama kuvuta gear changedown worse comes to worse itakupa 7km kwa litre.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom