Frank Hood
JF-Expert Member
- Oct 15, 2021
- 598
- 1,383
Naomba niuzie mm hyo gari....milion 4Habarini humu wanajf, kuna kipindi niliwahi kuomba ushauri humu kuhusu kununua gari kisa tu wenzangu wote hapa home wana magari yao nakuwa kama mnyonge. Sasa nikajichanga nikanunua gari kwa mtu kama milioni sita hivi IST number D, toka ninunue hili gari kila mwezi lazima initoke kuanzia laki hivi, mara break, mara sijui shockup mara vikolokolo vingi sana tu, hapo bado mafuta kama 200k per month. Hivi nyie mnawezaje? Hasa vijana kumaintain hivyo.
Nawasilisha