Gari linanitesa

Gari linanitesa

co fm

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2016
Posts
1,569
Reaction score
2,584
Habarini humu wanajf, kuna kipindi niliwahi kuomba ushauri humu kuhusu kununua gari kisa tu wenzangu wote hapa home wana magari yao nakuwa kama mnyonge. Sasa nikajichanga nikanunua gari kwa mtu kama milioni sita hivi IST number D, toka ninunue hili gari kila mwezi lazima initoke kuanzia laki hivi, mara break, mara sijui shockup mara vikolokolo vingi sana tu, hapo bado mafuta kama 200k per month. Hivi nyie mnawezaje? Hasa vijana kumaintain hivyo.

Nawasilisha
 
Ushauri: Uza hilo gari sio hadhi yako nunua baiskeli..
 
Pole sana...uza gari nunua pikipiki ndogo 110 za kichina...endelea kula maisha...hujafikia kipato cha kumiliki gari
 
Habarini humu wanajf,kuna kipindi niliwahi kuomaba ushauri humu kuhusu kununua gari kisa tu wenzangu wote hapa home wana magari yao nakuwa kama mnyonge.Sasa nikajichanga nikanunua gari kwa mtu kama milioni sita hivi IST number D,toka ninunue hili gari kila mwezi lazima initoke kwanzia laki hivi,mara break,mara sijui shockup mara vikolokolo vingi sana tu,hapo bado mafuta kama 200k per month.Hivi nyie mnawezaje? hasa vijana kumaintain hivyo.Nawasilisha
Mkuu, nina Milioni 4.5 niuzie gari hiyo
Tuma picha zake PM tumalize biashara
 
Endelea kulitengeneza baadae litatulia, niamini mimi
 
Habarini humu wanajf,kuna kipindi niliwahi kuomaba ushauri humu kuhusu kununua gari kisa tu wenzangu wote hapa home wana magari yao nakuwa kama mnyonge.Sasa nikajichanga nikanunua gari kwa mtu kama milioni sita hivi IST number D,toka ninunue hili gari kila mwezi lazima initoke kwanzia laki hivi,mara break,mara sijui shockup mara vikolokolo vingi sana tu,hapo bado mafuta kama 200k per month.Hivi nyie mnawezaje? hasa vijana kumaintain hivyo.Nawasilisha
Tatizo unafanya service robo robo badala ya kufanya service gari zima

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Hizo ni service za kawaida za gari hata ununue mpya, vitu kama brake, shock ups, utabadilisha tu kulingana na matumizi yako. Kama huwezi kumudu hayo basi wewe huwezi kumudu gari ya aina yoyote labda ukanunue pikipiki.
 
Hapana kwa kweli
Hilo tatizo ni commom sana kwa gari za TOYOTA. Ukimiliki toyota we lazima kila mwezi urudi gereji maana spea nyingi za toyota ni feki japo watu wanazipendea ule unafuu wa bei.
 
Wanashindwa tu kukuchana kiukweli wengi tunapenda kumiliki vitu kwa show off baada ya hapo Hamna kitu ukijiuliza umenunua gari na nini, mkopo wa mshahara mafuta yanatoka wapi mshahara matengenezo yanatoka wapi mshahara makato ya mkopo wapi mshahara ukija kuangalia unamiliki gari halafu una maisha magumu kama sio ya mkopo.

Ufanye Nini: Uza gari tafuta sehemu uwekeze hiyo hela uliouza gari kama ni duka au mradi wowote ambao utakuingizia kipato kila siku tena anza na mradi wa faida ndogo tu 10000 kwa siku au 5000 kwa siku utajikuta faida unayopata ndio unafanya vitu vingne.
 
Wanashindwa tu kukuchana kiukweli wengi tunapenda kumiliki vitu kwa show off baada ya hapo Hamna kitu ukijiuliza umenunua gari na nn mkopo wa mshahara mafuta yanatoka wapi mshahara matengenezo yanatoka wapi mshahara makato ya mkopo wap mshahara ukija kuangalia una miliki gari halafu una maisha magumu kama sio ya mkopo

Ufanye Nini:uza gari tafuta sehemu uwekeze hiyo hela uliouza gari kama ni duka au mradi wowote ambao utakuingizia kipato kila siku tena anza na mrad wa faida ndogo tu 10000 kwa siku au 5000 kwa siku utajikuta faida unayopata ndio unafanya vitu vingne .
Sio gari la mkopo mkuu
 
Hilo tatizo ni commom sana kwa gari za TOYOTA. Ukimiliki toyota we lazima kila mwezi urudi gereji maana spea nyingi za toyota ni feki japo watu wanazipendea ule unafuu wa bei.
Mkuu ungefunguka zaidi kwamba watu wajielekeze kwenye Nissan
 
Habarini humu wanajf,kuna kipindi niliwahi kuomaba ushauri humu kuhusu kununua gari kisa tu wenzangu wote hapa home wana magari yao nakuwa kama mnyonge.Sasa nikajichanga nikanunua gari kwa mtu kama milioni sita hivi IST number D,toka ninunue hili gari kila mwezi lazima initoke kwanzia laki hivi,mara break,mara sijui shockup mara vikolokolo vingi sana tu,hapo bado mafuta kama 200k per month.Hivi nyie mnawezaje? hasa vijana kumaintain hivyo.Nawasilisha

200k za mafuta ni uchaguzi
 
Back
Top Bottom