Paul Kijoka
JF-Expert Member
- Oct 25, 2010
- 1,399
- 255
Kwa mujibu wa Getrude Kokwenda Ndibalema in FB, basi moja la abiria limewaka moto maeneo ya Kiiyege.
Ameeleza kuwa hakuna mtu aliyepoteza maisha ila tu mizigo michache ndo imeungua na gari limeteketea.
Ameeleza kuwa hakuna mtu aliyepoteza maisha ila tu mizigo michache ndo imeungua na gari limeteketea.