Mamaya
JF-Expert Member
- Jul 4, 2011
- 5,238
- 4,740
hivi mia manake nini?
MIA=Missing In Action. Figganigga Mia
hivi mia manake nini?
Wakiambiwa wafuate safety procedures wanaona wanasumbuliwa. Hairuhusiwi kupaki gari kwenye mzani huku inaunguruma na dereva anashuka! Na wheelchockers ndo msamiati kwao. Uzembe unatumaliza watz.
hahahaaaa....!!!. Mia
Loading...100% Hii ni hatari aisee. Buku
Huyu msaidizi si ndiye alipaswa kutoka kwenye kufanya clearence inayohitajika hapo kwenye mizani! Kwa nini alishuka dereva huko gari ikiwa on?
Hivi wapi iliposema gari liliachwa linawaka? By the way, utingo hajui lolote kuhusu procedures za bandari za kupitisha lorry na uzito etc. etc. dereva ndio yuko responsible, utingo atashukaje? Mia.Huyu msaidizi si ndiye alipaswa kutoka kwenye kufanya clearence inayohitajika hapo kwenye mizani! Kwa nini alishuka dereva huko gari ikiwa on?
Ndio hapo sasa, tuna import ngano toka wapi? Anyhow, hii ajali inatisha, sijui kama tutapata a detailed account of what really happened. Mia.mi mwenyewe nilikuwa najiuliza, hivi kumbe tunaimport ngano??
King'asti nakuzimia ulivyo sharp.
Haya yote unayajulia wapi mtu wangu?
Pamoja sana.
Kama kweli haya mpige LIKE basi.
Big up!Haina majoto, fresh, nimekuelewa, sawa sawa, nimekusoma, ndio, nk inategemea tu na mazingira yaliyotumika lakini inaweza kumaanisha lolote kati ya hayo hapo juu
,,,,,;,,,, inakuwaje marehemu kufariki... Imekaa vizuri eti.Kwa hiyo marehemu aliyefariki ni konda peke yake? JITI.