Gari la ndoto yako: Ni aina gani ungependa kumiliki?

Kumbe sasa hivi ndio nagundua JF ina watu ambao hawana Magari, Mbwembwe zote zile kumbe kuna watu humu hawana magari.
Mtu akisema gari la ndoto yake sio lazma awe hana gari..kuna mwengine atataja brevis lets say..unaweza kukuta anatumia vits lakin yupo ktk hatua ya siku aifikie ndoto yake endapo ataimiliki io brevis..na dream car si lazma iwe gari kubwa ya kufikirika..ni gari tu ya matamanio yako.na inaweza ikawa ya bei nafuu tu..sema ni vile unavyofikiria ndoto itimie iwe ktk miliki yako.
 
Basi kumbe ni hvyo basi ndoto yangu ni kuja kuwa na gari lingine kama hili nililonalo sasa.
 
2017 jeep wrangler willys wheelers
images.jpg
 
images+%284%29.jpeg

Nilikuepug naickiaga tu huu mnyama..baada ya test drive haujawahig kunitoka katika ubongo wangu..nakukusanyia ela..imekua dream car na kuusumbua moyo wangu for 4 month nao..
 
Back
Top Bottom