Gari la ndoto yako: Ni aina gani ungependa kumiliki?

2b6faafd975637715d2209d8a3dc34a2.jpg
 
Mtu akisema gari la ndoto yake sio lazma awe hana gari..kuna mwengine atataja brevis lets say..unaweza kukuta anatumia vits lakin yupo ktk hatua ya siku aifikie ndoto yake endapo ataimiliki io brevis..na dream car si lazma iwe gari kubwa ya kufikirika..ni gari tu ya matamanio yako.na inaweza ikawa ya bei nafuu tu..sema ni vile unavyofikiria ndoto itimie iwe ktk miliki yako.
marlezo yote haya unampa mtoto wa form 4? siku nyingine unampuuza tuu
 
Wengine mnaweka picha tu kwa kuwa imekuvutia muonekano, chagua gari kulingana fit for purpose teh teh teh kuna vitu vingi sana mpaka mtu useme nachagua gari hii ford range kwa kuwa nina factor hii na hii, muwe mnaangalia na geographical factor.... Kwa mfano Toyota was made for Africa maana ni gari ngumu sana
 
Kumbe sasa hivi ndio nagundua JF ina watu ambao hawana Magari, Mbwembwe zote zile kumbe kuna watu humu hawana magari.
Unaweza ukawa na gari ila bado huna gari ya ndoto zako.Nadhani ndio alichomaanisha mleta mada.
Unaweza na wewe ukawa na dreams zakuwa na nyumba kubwa Sana ya thamani ila bado unakaa kwenye nyumba ya kawaida.
 
Wengine mnaweka picha tu kwa kuwa imekuvutia muonekano, chagua gari kulingana fit for purpose teh teh teh kuna vitu vingi sana mpaka mtu useme nachagua gari hii ford range kwa kuwa nina factor hii na hii, muwe mnaangalia na geographical factor.... Kwa mfano Toyota was made for Africa maana ni gari ngumu sana
Mkuu sio kweli kwamba Toyota ndio gari ngumu inategemeana na gari yenyewe Mimi nina Ford bantam na Toyota hilux 2700,hilux ipo home mbeya na Ford ipo Arusha naiamini sana Ford utazunguka nayo maporini huko husikii kugonga gonga kama Toyota ikitoka tuu huko safari lazima ishikwe na mafundi tena...na zote ni za 2006 model...
 
Back
Top Bottom