ukipenda kitu huwezi kuwazia kabia mambo ya weseVipi wewe maana na mimi ninampango wa kuchukua hilo, ulaji wa mafuta
Gari nzuri sana kwa muonekano wa njee hasa upate nyeusi.. ila silipendi kwa ndani hasa ile gia ilipo ..gari yoyote yenye gia karibu na usukani huwa naichukiaMazda Tribute,nalipenda sana hili gari!
Kutokana na mazingira yangu ya sasa nitaji mnyama huyu Subaru Forester
Mkuu bei gani hii ndingaView attachment 647381
Penda sana huyu mnyama
Kwel mkuu nami huwa naamini ipo siku tuu,huku nikiendelea kuongeza jitihada
Kama hili eh?
mkuu hii ngoma kwan inaweza gonga ngap??
Kama hili eh?