Zapa RadioFm
Senior Member
- Feb 12, 2016
- 112
- 171
Taarifa zinasema kuwa gari la Muheshiwa Naibu Spika limepata ajali maeneo ya kiwila. Mpaka sasa hatujapata habari yeyote kuhusu majeruhi au kifo. Kwa habari kamili tutawajuza kadiri tutakavyokua tunapokea taarifa hizi.
Mbeya Wilaya ya rungwe ni nyumbani kwaoMaeneo ya Kiwila
Ni Mkoa gani ama Wilaya gani???
Ni karibu na kwao huko unyakyusani,wilaya ya Rungwe, mkoa wa Mbeya. Nafafanua tu ilipo kiwila na si habari za ajaliMaeneo ya Kiwila
Ni Mkoa gani ama Wilaya gani???
Ok kwahiyo alikuwa nyumbani kwao mbeya akiwatembelea wapiga kura wake. Chanzo cha ajali ni nini?Mbeya Wilaya ya rungwe ni nyumbani kwao
Mpiga kura wake ni JPM, Hugo ni Mbunge aliyemteua akawe naibu spika kwa makusudio yake. Hana kura zaidi ya hiyo kuingia bungeniOk kwahiyo alikuwa nyumbani kwao mbeya akiwatembelea wapiga kura wake. Chanzo cha ajali ni nini?
Acha huyo ana kura moja tu ya aliyemteuaOk kwahiyo alikuwa nyumbani kwao mbeya akiwatembelea wapiga kura wake. Chanzo cha ajali ni nini?
Mbeya Wilaya ya rungwe ni nyumbani kwao
Mleta post kasema ni gari la Naibu Spika!Mwanasheria mbobevu kinoma noma! tunamtegemea sana mjengoni. God be with her
Safi sanaTaarifa zinasema kuwa gari la Muheshiwa Naibu Spika limepata ajali maeneo ya kiwila. Mpaka sasa hatujapata habari yeyote kuhusu majeruhi au kifo. Kwa habari kamili tutawajuza kadiri tutakavyokua tunapokea taarifa hizi.
Kiwila ama kiwira ? Aaaaaah ndo maana mmefeli Kiswahili hata mchina kawapita mnabaki kujamba jamba tu!!!Mbeya Wilaya ya rungwe ni nyumbani kwao
Utaondoka wewe kwanza. You can take that to the bank!Akiondoka bunge litapungua upumbavu.