Hivi kwa nini watu uwa hawajifunzi? Hii hali ya magari ya mafuta kuanguka na watu kuvamia kuchota mafuta mara zote mwisho wake uwa ni watu kufa endapo kutatokea hayo mafuta kushika moto. Hata wewe uliyepita hapo una roho ngumu, halafu ukapata hata nafasi ya kumuhoji dereva ilikuwa je akaangusha trela?
Tuombe Mungu lisitokee janga.
Tiba
Aisee kabanga,ugonjwa huu wa 'l' na 'r' umekuanza lini? Pole. cc #TeamRekebishaLugha . charminglady, Kibo10, neverGiveupkuna roli limedondsha tera ikiwa na mafuta hapa karibu ma Igunga, hakuna askari watu wanakijiji na madereva wamesimama wanachota mafuta tena petrol
chanzo cha ajali dereva alisinzia, anasema alihisi gari linamvuta upande mmoja katika kurejesha barabarani ndio tera imegoma .
sijui itakuwaje ikitokea kuripuka hapa maana magari ya abiria na madogo ma wanakijiji wa hapa na ndoo zao.
napita katika eneo la tukio.
Aisee kabanga,ugonjwa huu wa 'l' na 'r' umekuanza lini? Pole. cc #TeamRekebishaLugha . charminglady, Kibo10, neverGiveup
Mkuu msamehe huyo ni binamu yangu... Kateleza ulimu tu but hayuko hivo!
Ni "kulipuka" na si kuripuka.kwani hao watu hawaogopi hilo dude likija kuripuka!!
Aisee kabanga,ugonjwa huu wa 'l' na 'r' umekuanza lini? Pole. cc #TeamRekebishaLugha . charminglady, Kibo10, neverGiveup