Gari la mch. Msigwa (CHADEMA), ni balaa!

Hongera Mchungaji Msigwa.....good....na Mungu akikujaalia tena vuta hata hammer. Acheni wivu kwanza ni dhambi!
 
Kweli gonjwa la ajabu, huyo jamaa ana mazito sana.

Kipimo cha mapenzi ndio hapo.

Mke kashindwa amekimbia badala ya kuwa na mumewe bega kwa bega, inasikitisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…