Gari la mbowe bado laleta mjadala facebook

Tujadili mambo ya msingi. Hata kama Mbowe ataacha kulitumia hilo gari sioni kama itaongeza tija kwa maendeleo ya nchi. Aidha, hiyo ni haki yake kwa kuwa tayari gari hiyo ilishanunuliwa, hata akiicaha haiwezi kurudisha fedha, badala yake inatatumiwa na watazania tu. Mbowe alitaka kufikisha ujumbe kuwa hizo gari ni hanasa, na sasa imesaidia serikali imetangaza kuacha kuagiza mgari ya kifahari. Kwa hiyo suala halikuwa Mbowe hatatumia, bali alimaanisha kuendelea kununua magari ya aina hiyo ni anasa.

Hili Taifa limekuwa taifa la matokeo na matukio....Hatujadili sera wala itikadi.hatujadili falsafa wala mantiki....Tuna allergy na haya mambo sasa.Tunakoelekea ni kubaya.Ni kama vile tunafanya shooting ya filamu kali ya vichekesho.Tunajiandaa ku-suprise film fraternity!

Tanzania is disorganised, because our national structure is a fraud that was designed for theft and exploitation, rather than growth and production.Rather than an equitable society bolstered by strong institutions, we have inequality, death, destruction, wickedness and corruption propped up by chaos.
 
Watu wenye akili ndogo kama wa ccm hujadili mambo madogomadogo.Mboya kama anayogari ni kwamjibu wa sheria mbovu zilizotungwa na bunge, mbowe kuchukua gari au kutochukua ni hiari yake.Badala ya kujadili mambo makubwa , hujumu na kurudisha nyuma uchumi wetu ,watu wanatoka mapovu na gari la mbowe mlitaka atembee kwa mguu.mimi naona nivema alichukue litusaidie kutafuta ukombozi wa nchi hii.Chamana hapa nikutafuta namna ya kutunga sheria itakayo ibana serikali ili kupunguza matumizi ya mashangingi.Mbowe hata akiliacha hilo gari mafisadi watalichukua na kulifisadi.Narudia tena Afadhali Mbowe alitumie lisaidie ukombozi wa nchi hii
 
Tujadili mambo ya msingi. Hata kama Mbowe ataacha kulitumia hilo gari sioni kama itaongeza tija kwa maendeleo ya nchi. Aidha, hiyo ni haki yake kwa kuwa tayari gari hiyo ilishanunuliwa, hata akiicaha haiwezi kurudisha fedha, badala yake inatatumiwa na watazania tu. Mbowe alitaka kufikisha ujumbe kuwa hizo gari ni hanasa, na sasa imesaidia serikali imetangaza kuacha kuagiza mgari ya kifahari. Kwa hiyo suala halikuwa Mbowe hatatumia, bali alimaanisha kuendelea kununua magari ya aina hiyo ni anasa.

Kamanda umeongea jambo la maana nadhani watu hawakumuelewa mbowe,Kwa kurudisha Gari ameifanya serikali iachane na mashangingi.Wabunge wachadema kutoka bungeni haikuwa na maana hawataingia tena,kupinga poshao haina maana wasipate posho.wanataka kutuambia kuwa sheria nimbovu zibadilishwe.Chadema wakiacha kuchukua posho bila kubadili sheria mafisadi watachukua posho na kutumaliza nazo
 
Back
Top Bottom