Gari la kubeba takataka jijini dar es salaam

Hili silo Gari takataka hili ni gari la Takataka linazoa taka

Ukilita Taka haliwezi kuzoa Takataka mkuu upo pamoja na mimi?


Maana ya taka ni kitu amabacho kahifai mahali fulani lakini kinaweza kufaa mahali pengine mfano karatasi chafu unaweza kuitumia kukolezea moto wa mkaa........n.k takataka ni kwamba haifai tena kwa matumizi......kwa kuwa gari hili kwa jinsi lilivyo bado linatumika kwa hiyo ni taka................

Chukua na Hii...............Dont throw dirty water before you get the fresh one.......unaweza kuyachambia
 
Yaani Dar es salaam jiji linaoongoza gari lake la kubebea taka limechoka hivi, mnashindwa hata na manispaa ya jiji la Arusha. huku gari la kubebe taka ni zuri na la kisasa

Arusha mbali kote huko..................hapo mji kasoro bahari tu wana magari masafi mno mpaka nmwonea wivu dereva!
 
Sifa moja kubwa ya kuwa mkazi wa dar lazima uwe mchafu, mpaka magogoni kuna harufu mbaya ajabu gari za kubebe takataka nazo ni chafu ajabu zinapita mpaka posta city center kabisa lakini kimya hamna cha kiongozi au mkazi wa dar anayelalamika. Mbeya kuna gari za taka safi na kuna trekta lenye kijiko kwa ajiri ya kupakia taka zilizozidi sehemu za kukusanyia.
 
GARI LA KUBEBA TAKATAKA JIJINI DAR ES SALAAM



IMG_3468.JPG


IMG_3466.JPG


<TBODY>
</TBODY>
Hivyo magari kama haya bado yapo Jijini Dares-salaam? Nawauliza Wakuu wenzangu?

Takataka zinazoa takataka.
 
Al Shabaab wakuimteka mwenyekiti wa magamba, atazungushwa mji mzima akiwa amepandishwa kwenye hili gari

moz-screenshot.png
Hatuzungumzi mambo ya siasa Mkuu tunazungumza kuhusu issue ya hili Gari la Takataka sasa hili gari lenyewe ni taka lakini linabeba Takataka? kazi kweli ipo hapo Dares-salaam kuna viongozi wa mji kweli au mchezo mtupu?
 
takataka linabeba takataka usiombe lisimame kwenye foleni halafu liko ubavuni kwenu utaomba konda akufungulie mlango ushuke
 
Back
Top Bottom