Ngoja waje wenye hasira zao😅😅..watakuja soon...umaskini ni mbaya sana jamani...Yani mkuu wewe unakereka Kwasababu huwezi kuchungulia ndani ya magari ya watu? Inaonekana unakereka pia Kwann Watu wanaweka Mapazia huwezi kuchungulia ndani mwao.
Wamachinga kwenye foleni wanasumbua sana, macho yakielekea tu kwenye bidhaa anayo uza ni shida. Bora asikuone kama unaangalia ili kama unahitaji ufanye kumwiita na sio wote kukuvamia kama ugomvi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeshawapa koni wengi sana kwa staili hiiWanawake hawapendi kukaa kwenye gari lisilokua na tinted maana hua wanapenda kula koni na kushikwa shikwa mapaja akiwa na jamaa yake na ikiwezekana hua wanalaza siti ili kuhitimisha game.
Ni mzenji hapo umepata pichaYani mkuu wewe unakereka Kwasababu huwezi kuchungulia ndani ya magari ya watu? Inaonekana unakereka pia Kwann Watu wanaweka Mapazia huwezi kuchungulia ndani mwao.