Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,582
- 28,732
Wale wazee wa magari makubwa mpooo...Nawatakia weekend njema
![]()
Mkuu inabidi barabara zisiwe za mchina kama tulizozoea huku uswazi aiseee...Magari makubwa kama haya yanaharibu barabara kweli.
Limezidiwa mzigo...chezeya huo uzito weye....Inaonekana tyre moja lina pacha
Teh teh kwa hiyo mkuu yako self serviced yanakuja na "full-package"Magari kama haya ndo mazuri, hautakaa usikie oil imepungua wala maji yameisha.
Lilipata ajari ikabidi walifumu upya.....Bodi imechakachuliwa hii
Kitu orijinali hicho....made at BUGURUNI MALAPA.....Hu jintao at work..!!
Salama sana mkuu... Mbuzi Mzee Valentine day kafungiwa hatoki mpaka mwisho wa mweziNilipoona kichwa cha uzi nilijua kuwa lazima atakuwa MbuziMzee. Kumbe ni wewe. Habari za jioni Mkuu
Teh teh kwa hiyo mkuu yako self serviced yanakuja na "full-package"
Wale wazee wa magari makubwa mpooo...Nawatakia weekend njema
![]()