Gari Jipya La Kisasa la TBC

Lakichina aaaa ok kwa vile ni China Aid no problem.
 
Kama nchi, malipo lazima yatakuwepo. Tutachoreshwa 7 ya kiuchumi na Wachina hadi tuwe Mashoga......

Msaada........... Kwenye uchumi wa kibepari hakuna kitu kinachoitwa msaada.
Kuna return sisi hatuijui...
 

'ambaye jina lake hakutaka litajwe' Hawa kweli ni journalists? Wababaishaji tu.
 
Litakuwa linapita mitaani au linasimama pale studio kwao kuturushia taarifa ya habari laivu?
Lipe mwaka, litakuwa juu ya mawe!
 
Msaada........... Kwenye uchumi wa kibepari hakuna kitu kinachoitwa msaada.
Kuna return sisi hatuijui...

Umenikumbusha ile kauli alioitoa Jk mara baada ya kurudi toka China.. Alisema kila walichokuwa wanaomba Wachina wanawapa so akadai Wachina ni ndugu wa kweli..!
 
Umenikumbusha ile kauli alioitoa Jk mara baada ya kurudi toka China.. Alisema kila walichokuwa wanaomba Wachina wanawapa so akadai Wachina ni ndugu wa kweli..!
huenda aliomba hata ukuu wa wilaya
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…