Gari isuzu journey inauzwa

Gari isuzu journey inauzwa

Old-Timer

Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
76
Reaction score
15
Jamani ndugu zangu nauza gari Isuzu Journey, Engine type 4BD1, Seating capacity 29, Imported-Singapore, Imefanya kazi ya Daladala kwa mwaka mmoja sasa, Tegeta-Ubungo. Ipo katika hari nzuri, Bei ni TSH 17,000,000 maelewana yapo.

A.jpg F.jpg C.jpg B.jpg D.jpg
 
Tafadhali nipe simu yako au piga 022-2180274 saa za kazi.... nahitaji kuiona
 
sawa sawa ngoja nitafute mteja ila cha juu changu naweka.kuna msukuma mmoja kaja nunua gari huyo nataka nimkamatishe hiyo ndinga
 
Back
Top Bottom