Gari ipi pasua kichwa kati ya hizi?

Nashangaa sana hilo! Nimeona Brevis nyingi sana zikiuzwa kwa bei ya 4.5 - 5.0 milion kitu ambacho sio cha kawaida!
Hata Xtrail nazo ni hivyo hivyo
Brevis ni moja ya gari tamu sana ila wengi wanaonunua hawana uwezo wa kulimiki na kusingizia ubovu au ulaji wa mafuta hali inayopelekea kuuzwa bei ya chini.

Waswahili wanasema starehe gharama, huwezi kutaka comfot kwenye gari halafu itumie mafuta kama ya kwenye ist. Na hakuna gari inayoweza kukupa vigezo vyote unavyovitaka duniani.
 
Watanzania sasa wananichosha...

Wakishakuwa na kipato duni, hawakubaliani na hali...badala yake wanayapa magari fulani sifa mbaya..

Kuna watu wamekaa na Brevis miaka kadhaa bila shida yoyote, na wengine hizo x trail wamekaa nazo bila shida...

Haya magari yanataka uwe na wallet yenye mbavu nene ili uyatendee hakiya mafuta na spea..

Wewe unata gari inayorun smoothly halafu unaogopa mafuta..?
Kama muoga wa mafuta kaa mbali na Brevis, Crown,Fuga na mengine jamii hii...waachie wanaume wenye pesa zao..

Brevis shipa, brevis shipa....shipa kivipi..?
Hebu kaeni kwenye IST zenu huko zinadunda dunda kama kitenesi..
 
🙄
 
Gari nzuri yenye injini kubwa pia gari matunzo uwe unaifanyia service kwa wakati au co bhana mm nina brevis cc 2000 iko poa tuu aisumbui wala nn tena nakula nayo luti sana barabarani Makambako kyela,Makambako Mbeya,Makambako Sumbawanga, Makambako Dar Makambako mwanza mara ya mwisho nilitoka nayo Madibira nikaenda nayo Kyela nakarudi nayo Makambako iko poa tuu kusu mafuta Kawaida kama umenunua gari lzm mafuta utanunua tu raha ya gar injini kuna kipindi nilitaka ninunue nisani ya umeme ila nikashauriwa miyeyusho nikaacha gari injini wabongo sisi tatizo wabahiri...
 
Cc2000?hakuna brevis ya hivyo mkuu.

Nissan ya umeme hio ndio ikoje mkuu?
 
Nilinunua kwa mtu sasa cjajua nilienda na fundi wangu akaicheki gari akasemaniko poa nikatoa pesa nikanunua na niksmbiwa ina cc 2000 na kwny kadi ina soma ivyo wenda wali swap..
Brevis ya Cc2000 haijawahi kutengenezwa tangu dunia iundwe mkuu.,unless mli-swap.
 
Sasa ukinuliza gari yangu injini gani utakuwa unanionea mana cjui lolote...
Sasa mkuu kama unasema haujui chochote then usibishe,ila jua brevis ziko aina 2 tu za cc2500 na cc3000 na kama ulinunua mkononi kwa mtu then jua alikudanganya tu ni Cc 2000 wkt ni cc2500.

Na case za brevis nilizosikia nyingi ni kuna wenye magari ya brevis ya cc 3000 yaliyoandikwa ai300 pale nyuma hua wanatoa hio lebel wanaweka ai250 kumdanganya mnunuzi kwamba hio gari ni ya cc2500 ila hii case yako ya cc2000 kwangu ni mpya mkuu.
 
Back
Top Bottom