Gari ipi pasua kichwa kati ya hizi?

Mkuuu humu utakatishwa tamaa, ukijar service na kuitumia vzr inaweza kukupa mpk 9-10km mjini na 11-13km/l highway. Nna uhakika mzee ana gx100. Litre4 inaenda mpk 45kms
Ni kweli mkuuu, nilishakuwa na cresta 1g vvt i 1988cc,nilikuwa napata km 45+ kwa lita 4 hapa mjini, japo mwanzo nilisikia ni jini ila nilivyoimiliki majibu yalikuwa ni tofauti kabisaa tena nilinunua tu kwa mtu namba C.

Ukinunua used ambayo ni mpya kwetu na hisi jnaweza kupata 50+km kwa lita 4, nimeongelea gx 100 kwa kuwa injini ni moja na na gx 110 japo sio zote.
 
Ni kweli mkuuu, nilishakuwa na cresta 1g vvt i 1988cc,nilikuwa napata km 45+ kwa lita 4 hapa mjini, japo mwanzo nilisikia ni jini ila nilivyoimiliki majibu yalikuwa ni tofauti kabisaa tena nilinunua tu kwa mtu namba C. Ukinunua used ambayo ni mpya kwetu na hisi jnaweza kupata 50+km kwa lita 4, nimeongelea gx 100 kwa kuwa injini ni moja na na gx 110 japo sio zote.
Gx110 zote ni six cylinder sio?

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
 
Hahah kwamba ukiweka hio picha ya brevis ndio ita justify kwamba inanunuliwa mil 8?

Twende kimahesabu:

Brevis ya 2001 TRA watakuchaji Tsh. 4,857,574

Then Shipping lines+Wharfage+ Port charges+Plate number+ Agency fee fanya roughly Tsh. 900,000

Total cost:4,857,574+900,000=Tsh.5,757,574

Hapo bado hatujaweka CIF ya hio brevis,since umesema total cost ni mil 8 then CIF

CIF:8,000,000-5,757,574=Tsh. 2,242,426

Tuipeleke kwny USD:2,242,426÷2318=$967

Then nionyeshe brevis yenye CIF ya $967 uliinunulia wapi wewe mtoto wa mjini.
 
Back
Top Bottom