Gari ipi nzuri yakununua kwa ajili ya matumiz binafsi na yakifamilia bajeti kwa 13M

Iyo pesa chukua Spacio au Wish.
Au kama vipi jitupe kwa paka mwenye roho saba Probox/Succeed.
Kwa raf rodi Probox uyu ndo muhusika wa kwanza.
 
Sienta wametoa mzigo unachukua watu saba, yani kama ni mambo ya extended family unakusanya wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…