Gari ipi nzuri yakununua kwa ajili ya matumiz binafsi na yakifamilia bajeti kwa 13M

malembeka18

JF-Expert Member
Jan 26, 2018
1,173
2,000
Wakuu naombeni ushauri nataka kununua gari yakutembelea kikazi nakifamilia gari iwe imara body muonekano na ulaji pia wamafuta
 

fredo fred

JF-Expert Member
Oct 17, 2015
568
1,000
Wakuu naombeni ushauri nataka kununua gari yakutembelea kikazi nakifamilia gari iwe imara body muonekano na ulaji pia wamafuta
Toyota isis
Toyota wish
Toyota sienta
Toyota mark x zio
Toyota noah
Toyota alphard
Volkswagen touran
Nissan serena
Toyota gaia
Toyota passo sette

Hizo zote zina seat saba
 

NAWATAFUNA

JF-Expert Member
Nov 14, 2019
9,910
2,000
Iyo pesa chukua Spacio au Wish.
Au kama vipi jitupe kwa paka mwenye roho saba Probox/Succeed.
Kwa raf rodi Probox uyu ndo muhusika wa kwanza.
 

Extrovert

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
39,725
2,000
Nunua Corrolla fielder. Iko Unique na ni gari ya uhakika kwenye ulaji wa mafuta pamoja na comfort
 

Donnie Charlie

JF-Expert Member
Sep 16, 2009
10,328
2,000
Sienta wametoa mzigo unachukua watu saba, yani kama ni mambo ya extended family unakusanya wote.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom