malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 2,778
- 2,703
Wakuu naombeni ushauri nataka kununua gari yakutembelea kikazi nakifamilia gari iwe imara body muonekano na ulaji pia wamafuta
toyota Wish,noah(specificaly road tourer),...Wakuu naombeni ushauri nataka kununua gari yakutembelea kikazi nakifamilia gari iwe imara body muonekano na ulaji pia wamafuta
Naishi mkoa njia rafu roadtoyota Wish,noah(specificaly road tourer),...
Toyota isisWakuu naombeni ushauri nataka kununua gari yakutembelea kikazi nakifamilia gari iwe imara body muonekano na ulaji pia wamafuta
Ongeza mbili uchukur probox....hyo hata kuni unabebea.kwenye tope inapita kama lamiNaishi mkoa njia rafu road
Rekebisha kwenye uzi wako pale juu,sema unaishi mkoani!Naishi mkoa njia rafu road
Nina Toyota Wish, million nane tu!!toyota Wish,noah(specificaly road tourer),...
Hapo hakuna ujanja toyota Probox/succeed inakuhusu.Wakuu naombeni ushauri nataka kununua gari yakutembelea kikazi nakifamilia gari iwe imara body muonekano na ulaji pia wamafuta
Mkuu Tena huku ziko nyingi Sana naambiwa eti kwamtu naweza chukua kwa 7mOngeza mbili uchukur probox....hyo hata kuni unabebea.kwenye tope inapita kama lami
Hahahaaa!! Eti hata kuni unabeba!!! Unapokuja Jf. You never walk alone!!!Ongeza mbili uchukur probox....hyo hata kuni unabebea.kwenye tope inapita kama lami