Gari ilivunja mahusiano yangu na huyu binti

willpower

JF-Expert Member
Dec 3, 2019
404
2,272
Miaka kadhaa nyuma wakati Posta ipo kwenye ubora wake. Wakati huo migahawa maarufu ni Steers opposite na British Council, Meals Cafe na Food World mtaa wa Azikiwe.

Maisha yana mengi sana. Wenye magari (hata ya ofisi) walitutesa sana miaka ya katikati ya 2000).

Na kufikia leo bado wanawake hawajayazoea magari. Kama una hela hakikisha unamnunulia mkeo gari.
 
Tatizo halikuwa gari la jamaa, tatizo ni self-esteem yako. Ulipoona jamaa anachukua demu ukaanza kujiona ni mdogo. Ujifunze kujiamini na kuwa na confidence hata kama hauna hela.

Demu alikukubali ww kwanza na ukawa mpenzi wake. Kila mwanaume ana uwezo wake zaidi ya mwingine. Manake hata kama jamaa alikuwa ana gari, japo haukuwa na gari kuna vitu ambavyo vina mvuto kwako na vilimvutia huyo demu akakupenda siku za awali.

Mimi pamoja na hela zangu kuna demu mmoja hata alikuwa anakuja nampa hela anaenda kupata good time na kajaamaa kake ka high school.

Mimi sina muda niko kwa business mara nyingi. Kajamaa kana muda sana kwa hio kalikuwa kanampa demu good time.

Kwangu demu anapata hela. Mie napata papuchi au good time nikiwa na muda tunaenda mahali weekend. Ila jamaa yeye kila siku ana muda anampa demu good time muda wowote.

Nilikubali ku-share na hako kajamaa. Japo yeye hakujua mimi nakula demu wake.

Demu alishaniambia anatupenda wote.

Mambo ya mapenzi changamoto. Mara nyingine inabidi ukubali tu hali sababu mademu huwa hawaridhiki. Akipata hela, anataka good time. Na pia hawapendi shida eti abanane daladala wakati jamaa anataka kumpa lift. Ila sababu jamaa alikuwa na mke, sehemu yako kwa demu ilikuwa palepale.

Asante kupost uzi mzuri na kushirikiana nasi. Be blessed
 
Kwakweli inashangaza mpaka miaka ya sasa kuna watu wanaona ukiwa na gari ni jambo kubwa na hata kwa bahati mbaya hurakiwi kuliongelea mna ni kama tangazo.
Wabongo bado tuna ushamba sana. Yan wenzetu vijana wanamiliki biashara na wanazifanyia mambo makubwa na wanapongezana kabisa sisi tunaona kumiliki gari ndio kitu kikubwa. SOU!!
 
Back
Top Bottom