Jindal Singh
JF-Expert Member
- Sep 9, 2015
- 1,857
- 1,543
😀😀😀Sasa nimeleta hapa ilimnipatie mikakati ya kumnasa huyu mtoto ikiwemo kupata mawasiliano yake. Kama nitafanikisha basi moyo wangu utafurahi sana na akinikataa moyo wangu utaumia sana.
Huyu dada hataki kunipa muda wa kukaa nae na kuzungumza kiutuuzima.Summarize kwanza story yako ndo nikuitie wakali wa hizo kazi wakupe maujuzi
By the way, ungeanza kumtafuta kwenye mitandao ya kijamii kama fb na insta. Basi kule ni mwendo wa ku like kila kitu anachopost. Hii itakufanya upate attention yake. Then the rest is the history...😀😀😀
Ngoja wazee wa hat trick waje...
Hata jina sifahamu.By the way, ungeanza kumtafuta kwenye mitandao ya kijamii kama fb na insta. Basi kule ni mwendo wa ku like kila kitu anachopost. Hii itakufanya upate attention yake. Then the rest is the history...
Ukiulizia washkaji wa kitaa huwezi kulikosa.Hata jina sifahamu.
Katika mapenzi inatakiwa uusikilize moyo kwanza, istoshe mimi sio mtu wa wanawake wengi.Mkuu yote hiyo unataka kibwenye tu,si vibwenye naviona vingi tu!!!!
Achana na hizo option Mimi nakupa option namba 3-tafuta kibwenye kingine
Dah! umri wangu na kuanza kuingia mitaani tena labda nitumie wajumbe.Ukiulizia washkaji wa kitaa huwezi kulikosa.
Kumbe ndio maana unakwama. Umri wako, umri wako, kwani una miaka mingapi?Dah! umri wangu na kuanza kuingia mitaani tena labda nitumie wajumbe.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] usimdanganye mkuuOption zote zikifeli jitoe muhanga mkuu,jaribu trick yangu hii,imefanya kazi kwangu twice....nenda kwao ukiwa umevaa kiheshima,gonga mlango wa mbele tena akifungua mzazi wake itapendeza zaidi,salimia kisha uombe kuitiwa huyo binti hakika atashtuka sana na ataona kweli wewe mwanaume na ukimuomba mawasiliano hapo hawezi kukataa.
NB:Uwe mtu mzima,kama mtoto usijaribu..utakamatwa na kuchapwa fimbo zisizo idadi.