iamriq_arthur
JF-Expert Member
- May 1, 2021
- 452
- 1,131
Kwanini gari ndogo automatic ikizima ghafra ikiwa kwenye mseleleko break zinaishamo ukikanyaga hazikamati nifanye nini ili gari lisimame linaookua kwenye mseleleko?
Tumia handbrake iwapo gari imepoteza mawasiliano ya kimfumoKwanini gari ndogo automatic ikizima ghafra ikiwa kwenye mseleleko break zinaishamo ukikanyaga hazikamati nifanye nini ili gari lisimame linaookua kwenye mseleleko?
Hata bettrey ikikata chaji gari ikiwa kwenye mwendo haisimami sio brake sio vioo kushuka sio lolote hii ishanitokea unachotakiwa kufanya vuta handbrake kwa taratibu sio vuu itakupindua vuta handbrake taratibuKwanini gari ndogo automatic ikizima ghafra ikiwa kwenye mseleleko break zinaishamo ukikanyaga hazikamati nifanye nini ili gari lisimame linaookua kwenye mseleleko?
Tumia hand break ili uweze simama kuna uwezekano kuna loose connection kwenye betri.Kwanini gari ndogo automatic ikizima ghafra ikiwa kwenye mseleleko break zinaishamo ukikanyaga hazikamati nifanye nini ili gari lisimame linaookua kwenye mseleleko?
Gari ikizima kwenye mwendo ni lazima brake zifeli mna gari ipo off sasa hpa unachotakiwa kusimamia ni hand brake ndo suluhisho la mwisho na gari itasimama vzr tuWajuzi msaada huku