Ray waniache
JF-Expert Member
- Jan 25, 2017
- 737
- 507
Binadam bhana,,,
Hawa waandaaji na wasimamizi wa masuala ya miss Tanzania mpo serious kweli?
Gari gani mmepa binti wa watu? Mbona hii dharau na kejeli? Haki ingekua mimi nisingepokea
Gari imejaaa matangazo halafu gari yenyewe sasa mhhhh hata hata bure haki sipokei
Mnaodeal na zawadi za mamiss ni wanyonyaji wakubwa tena wadhalilishaji wa mabinti za watu
Inatia kinyaa sana aisee very bad Ifike mahali mbadilike muache ukakasi wenu
Yaani diana ni mvumilivu sana haki vile mbali na gari kaa box la juice kuna kipindi cha mashindano ya miss world walikua wanamkwamisha kwamisha binti wa watu
There are something behind Waandaaji na mnaoratibu zawadi za mamiss ninyi ni wanyonyaji wakubwa sana
Very shame Hiyo gari ingekua mimi ningekataa