Superbrand
JF-Expert Member
- Apr 6, 2013
- 509
- 158
kama uko tayari liko ni la kuagizwa toka japan kwani mm naagiza magari hivyo kama uko tayari nambie nawewe
Kama mimi nahitaji toyota passo sette sh ngapi
kama uko tayari liko ni la kuagizwa toka japan kwani mm naagiza magari hivyo kama uko tayari nambie nawewe
Ukihitaji gx 100 niambie unipe hela.
Ukihitaji gx 100 niambie unipe hela.
Nna Brevis na namba ni C,pm me
Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
Hiyo ni mkwe
Nna Brevis na namba ni C,pm me
Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
Nahitaji gari aina ya toyota passo sette alionayo ani pm tuongee biashara
Kama mimi nahitaji toyota passo sette sh ngapi
Kama mimi nahitaji toyota passo sette sh ngapi
acha nikucheki kwa mtandao kisha nitakupa jibu sasa hivi
taja bei ili nifanye uamuzi,nijibu ipo na inauzwa bei gani
Inaanzia 6.5m kama umeridhia nipm
Vitz kwa 3Mill, nenda kwa Shangazi yako akakuuzie
U
ilete masihala hapa
mbona pm haziji kwakocsu,na hyo bei ni pamoja na kodi
Pamoja na kodi ngoja nicheki labda inbox imejaaa
Hebu wewe tuma kwangu tuone,au